Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nimeletewa fomu za shule za watoto nimeona isiwe tabu ngoja nijidunge kwanza nitapata akili
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hamna kitu inaleta changamoto January hii Kama ada!!!mm ni mmoja tu ndio yuko shule Ila nakaribia kudata.

Sent using [ ]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hamna kitu inaleta changamoto January hii Kama ada!!!mm ni mmoja tu ndio yuko shule Ila nakaribia kudata.

Sent using [ ]
Kula wisky au nyagi utapata akili
 
.
IMG_20200104_125615_689.jpeg


Jr[emoji769]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom