[emoji23][emoji23][emoji23]halafu kama uko guest house
Jr[emoji769]
Hii bar ipo pande zipi mkuuView attachment 1266163
Machame bar mda huu nalipa kodi
Mdogo mdogoDaaah KIBODEKO aixee karibu Kigoma town..
Location yako wapi mida hiiKuna ale kisiwani Zanzibar ,tukutane tule ugimbi pale Tatu Restaurant
MTC | 101| [emoji769]
Mdau mwenzenu nilishinda lockup jana Baada ya kuchangia kodi usiku kucha wa Friday 13
God save us
Daah hii kitu niligonga vichupa vitatu nkakaa skunzima kila nkienda choon mkojo hutoki..sku ya pili yake kamkojo kadonchiii cha njano japo nlikua nashiandia maji ya kilmanjaro kwa sku mbil...ni noumerr
Daah hii kitu niligonga vichupa vitatu nkakaa skunzima kila nkienda choon mkojo hutoki..sku ya pili yake kamkojo kadonchiii cha njano japo nlikua nashiandia maji ya kilmanjaro kwa sku mbil...ni noumerr
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] kesho yake yaani jana. Nakumbuka kukikuwa na kaubishi. Sasa wakati narudi home asubuhi nikabutuana na daladala. Nadhani lilibishana na jamaa wenye nguo nyeupe nilivyofika kituoni mpaka pombe ilivyoisha wakaniachi.[emoji23]pole sana brother.. Ilikuwa ni siku ile tunawasiliana!? Hivi unajua ulizingua kimtindo? Sidhani kama utakumbuka lakini[emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
[emoji3][emoji3][emoji3] kesho yake yaani jana. Nakumbuka kukikuwa na kaubishi. Sasa wakati narudi home asubuhi nikabutuana na daladala. Nadhani lilibishana na jamaa wenye nguo nyeupe nilivyofika kituoni mpaka pombe ilivyoisha wakaniachi.
Vipi update ya jamaa yako?
God save us
Nipo KIBADEKO bar kibondo Kigoma, nashangaa tumezoea kilingeni kunakuwa na makuti au mabati,lakini huku Kigoma wanaweka tent za UNHCR
View attachment 1293420