Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Aise safi jana nilipata Smirnoff hadi sasa ninaona double double [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau mpo
MTC | 101| [emoji769]
Wadau naombeni dawa ya kuacha pombe! Inatesa sana maisha yangu,sina kichwa cha kuhimili tungi,nikiwa bwiii kila kitu naweka hadharani!![emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Baki home tuu ukitoka utapata kishawishi cha kukopa beer ya kukopa tamu lakini siku ya kulipa inauma maana unakuwa na kiu tena 21[emoji2356]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu leo nlikuwa maeneo ambayo niko crowded kidogo kulikuwa na kikao flan tumekaa kuyajenga mawili matatu sasa kiu ikawa imebana baada ya kutoka maofisi c nkaomba ruhusa ya kwenda dukan kwa kisingizio cha vocha aisee nimefika dukan jamaa c anasema hana chenchi nimempa 10 nlikuwa nataka nichukue kaschana(Valeur) kadogo niguse nirud.
Nkaona isiwe kesi nkatoka 2000 nkamwambia anipe Toti ya valeur akaniambia kuna pombe inaitwa Diamond cjui na rivvela aisee c nkachukue hyo diamond dah! Ni kelele wakuu hii ngoma nimegusa hii chupa ya tatu yan tumbo inawaka moto nimeingia hapa kweny kikao kila wanachoongea nasapoti tu mpaka nimeona nichomoke kwanza nkatulie pemben... ***** kitoko cjui Diamond[emoji86] mara rivela ...
Alaf kuna ingne inaitwa shujaa wa mashujaa dah kumbe huku ndo madreva toyo, makonda, mafundi, waalimu wanapoponea
Kitoko,Rivela,Shujaa,Shmha(hii ipo zaidi Kanda ya ziwa Ilo balaa lake sio la kitoto Kama ulikuwa na homa iliyojificha inaonekana kesho yake baada ya kunywa!
Doh,pole sana Rafiki ,na hali ya hewa ya huko, naona pembeni kuna konyagi
Hahahaha, Rafiki mm na wewe hatunyimani
Daaah hiyo pombe ni balaa,Sasa Jana nikapiga na hiyo absolute vodka nlilewa balaaAise safi jana nilipata Smirnoff hadi sasa ninaona double double [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Diamond upo kanda ya ziwa nini, inatengenezwa Shy kwa mchaga mmoja hivi. Ni hatari hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah KIBODEKO aixee karibu Kigoma town..Nipo mkoa wa Kigoma Kibondo katika Bar ya KIBADECO naanza kulipa kodi mdogomdogoView attachment 1292079
Moshi pale sikuhiz kuna moja wanaiita "Bikira wa kipemba" inaitwa AZURA naona inawatesa sana raia ni kalii..