MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,460
- 1,476
Unapata pesa unakimbilia kununua mabati,yakikukata je? We kula biaaa
Hakuna Nyanya Hapo, Ulizia Wataalam, Hiyo Pilipili, Ukiamka Kesho Maini Yote Ya Moto
Jamaa jinga sana
Kula KITOKO kimoja, Siku iyo utalala chooni...Kesho hutatewa tena Utaokoka!Hivi balimi ni bia nzuri... Nataka kuanza kulewa rasmi hivi punde.
Dah wakuu nimetapika jana usiku nkahisi utumbo unatoka aisee wacha kabsa adi dem wang kanipikia uji saa tisa usiku amelia ananiambia nlikuwa nakata moto
Eehh mungu baba nirehem na hii hangover natetemeka kama generator mpaka nimemkumbuka rayvanny