Nahisi kuacha K Vant,yaliyonipata makubwa.Jana nimepiga Safari 6 nikanywa na K Vant vischana viwili.Nilikuwa na wife,tukarudi nyumbani saa tano usiku.Tumeingia kulala,ajabu,imefika saa tisa wife ananiamsha nikiwa nimelala kitanda cha house girl,nikiwa uchi.Tuliingia chumbani kwetu tukalala lakini sielewi nimefikaje chumba cha house girl.House girl, wife kakuta kalala kwa watoto.Na kiukweli sinaga tabia ya kutembea na wasichana wa kazi awe wa nyumbani au ofisini kwangu,sinaga mpango nao.Hadi muda huu wife hajasema lolote na tunaongea vizuri tu.Najiuliza nimuulize Kama house girl kamwambia nimefikaje.Hadi sasa sielewi
Sent using
Jamii Forums mobile app