Hii ni pili pili
Inapendeza sana ukitumia na pili pili mkuuHii ni pili pili
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mkuu hiyo ni ngumu kumeza haipalii??Inapendeza sana ukitumia na pili pili mkuu
Unataka kuwa mchawi sasaAsee mi naacha pombe wakuu kitu ilichonifanyia baada ya kulewa mungu tu ndie shahidi nyie mnaoeza endeleeni Manake nimepewa kesi ambazo sikumbuki!
Iki kinywaji kikipata chupa nzuri tuuh kitanyweka balaaaa
Mate yamenitoka pamoja nipo kwenye doseYeah FridayView attachment 1269293