Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

.
IMG-20191129-WA0002.jpeg
 
Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.

Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa

. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina

Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo. Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi. Zile za ofa na hata za kwenye sherehe.

Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza.

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Siku moja tuliamua kulipa kodi na jamaa yangu moja hivi. nilipoana mambo si mambo nikawahi nikasepa yeye akaamua akeshe. kulipokucha akaelekea mjegoni. kufika mida ya saa tano akanipigia simu tukalianzishe kwake. nikazuga mpaka saa kumi nikaenda tukaanza kupiga mixer ya bia na wisky. ilivyofika saa mbili usiku nikaondoka kuingia viwanja. baada ya nusu saa napigiwa simu nirudi jamaa ana hali mbaya. kwenda nikakuta anatapika damu.

alikuwa analia kama mtoto yaani jamaa anaogopa kufa yule 😂 😂 😂 yani nikikumbuka nacheka mpaka basi.
 
alikuwa analia kama mtoto yaani jamaa anaogopa kufa yule [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani nikikumbuka nacheka mpaka basi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku moja tuliamua kulipa kodi na jamaa yangu moja hivi. nilipoana mambo si mambo nikawahi nikasepa yeye akaamua akeshe. kulipokucha akaelekea mjegoni. kufika mida ya saa tano akanipigia simu tukalianzishe kwake. nikazuga mpaka saa kumi nikaenda tukaanza kupiga mixer ya bia na wisky. ilivyofika saa mbili usiku nikaondoka kuingia viwanja. baada ya nusu saa napigiwa simu nirudi jamaa ana hali mbaya. kwenda nikakuta anatapika damu.

alikuwa analia kama mtoto yaani jamaa anaogopa kufa yule [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani nikikumbuka nacheka mpaka basi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom