Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Sinza btn kwa remy na mori kuna this kitimoto hatari

Sinza mapambano nyuma ya zile flats kama unaenda mwenge
 
Huu mchanganyiko n rahaaaa
Screenshot_20191011-212052_Gallery.jpeg
 
Karibu mapinga Kingz kwa kitimoto safi y kuchoma na kurost bil kusahu y kukaanga binywaji vyote vipo hard nd soft,
 
Nipo King'ole night club Mabibo matokeo kwa binti kahenga luhanga Narudi home baada ya kutoa kulipa kodi mdogo mdogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom