Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Taratibu
20191012_133255.jpeg
 
Wadau nisaidieni
Yaani siku hizi nikinywa bia. Wine aina yoyote kama ni usiku basi kesho yake lazima tuombe liniune na kufikia hatua ya kuharisha wakati hapo nyuma nilikuwa nakunywa vizuri bila kupata shida yoyote
Sasa sijui hili litakuwa ni tatizo gani au kuna watu wamepiga maombi ili niache kunywa pombe
Mkuu mimi sikuhizi nikinywa nalewa balaa,halafu nakuwa napoteza focus.

Ila zamani nilikuwa,balaa ya kulewa kwangu kwanza huwezi nijua hata nikiwaambia washakiji kuwa nimelewa huwa wanaona nawatania.

Saizi bia zina nitoa knock out. Bia 4 tu yani siwezi. Sijuii ni kutokana sijanywa,mda mrefu.

Na huwa nikizidisha natapika balaa wakati zamani ilikuwa,ngumu
 
Punguza kipimo mkuu,au tumia hizi ambazo si kali sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom