Nilikuwa nawa shangaa wanao kunywa lite ila saizi ndo ninazo gongaaPunguza kipimo mkuu,au tumia hizi ambazo si kali sana
LiteeeBia zipi sio kali saana?
Naskia walevi/wanywaji mno roho nzuri sana. Ni kweli?
mi nilijua roho yenu nzuri iko kwenye "Oya jomba njoo nikupige faru john na wekundu wa5 usoni"Ni kweli hatuna hasara hatuna cha kupoteza, na maendeleo kama yote. Nilipo nishajirupua hadi salary ya November na maisha yanaenda tu
ha ha ha ha haNi kweli hatuna hasara hatuna cha kupoteza, na maendeleo kama yote. Nilipo nishajirupua hadi salary ya November na maisha yanaenda tu
Okay
Hii bili ina kila dalili ya maumivu kwa kiumbe. Maana menu ya kuku,Noah na huku ngisi japo kwa muonekano ni pweza, ACHA MOTO UWAKE..
Kitu Brosto
Robertson dry white 😀 Hii siisahau chemisty yake nilikata bapa zima konyagi kwa muda mfupi.Wtf is Robisoni? Hahah
Chuma uleteNiko Mwenyewe Ila Bili Imekuja, Kama tupo Kukundi Vile !View attachment 1230837
Na unywaji wangu wote, sijawai gusa jina hata moja kwenyee hii pichaaamwnye nguvu ya kuandika cheque kulipa hiz kodi anakaribishwa [emoji23] [emoji23] Hapo nimekamilisha kuandika cheque moja tu ya Jose Cuervo silver.MIKONO INAUMA😀😀Hizi kodi weka mbali na watoto
View attachment 1231347
[emoji39][emoji39][emoji39]mwnye nguvu ya kuandika cheque kulipa hiz kodi anakaribishwa [emoji23] [emoji23] Hapo nimekamilisha kuandika cheque moja tu ya Jose Cuervo silver.MIKONO INAUMA😀😀Hizi kodi weka mbali na watoto
View attachment 1231347