Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,490
Natafuta sana hizi bia
Kama hii[emoji39][emoji39]Tuambizane wapi machimbo ya kupata kitimoto safari
•Kuna rudy’s farm bahari beach kuna kitimoto isiyokera
• niliwai kula kitimoto pale kilimanjaro spurs arusha haikuwa ya kawaida ,sad nasikia pamefungwa
•tanga enzi hizo pale sabasaba jirani na veta ule mtaa ukiingia unakula adi unahisi mifuko si salama tena
New mianzin kitimoto classic
Kama hii[emoji39][emoji39]View attachment 1229285
Kiasi chake ila sio level za Kilimanjaro ahahah..sema iyo nzuri ukiwa na marafiki
Sijui jamaa zetu wanakosea wapi kuila hii ki2
Kitimoto na mashetani mbali mbali ni chakula safi mpaka mbinguniSafi sana hii kitu,wale jamaa zetu wanaopandishaga majini hawaipendi sijui kwanini.
Natafuta sana hizi bia
Ndio Natoka Ibungu Mabibo Mwisho Narudi home now
Hahahaha, ngoja na mm nitakuja huko au vipiIbungu mwenzie ndo hii ya korogwee eeh
Leo ntakuwa pale
Hiyo ni mpya... Ya zamani iko Mabibo mwisho relini
Hahahaha, ngoja na mm nitakuja huko au vipi