Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
We jamaa kila siku king'ole tu au una demu hapoNdio Naanza kulipa kodi mdogo mdogo Hapa king'ole night club View attachment 1218152
We jamaa kila siku king'ole tu au una demu hapoNdio Naanza kulipa kodi mdogo mdogo Hapa king'ole night club View attachment 1218152
[emoji3] WatuWe jamaa kila siku king'ole tu au una demu hapo
Ni karibu na ninapoishi then nafahamiana na mmiliki na manager!We jamaa kila siku king'ole tu au una demu hapo
Karibu sana mkuu ndo mitaa yetu hiyo ya kutafutia rizikiAise nilipokuwa nasoma hapo chuo (UDOM) Nilikuwa nashuka hadi mitaa hiyo kuna dada anauza choya safi Chaduru hapo anaitwa Pendo Rass ..,Dah nimekumbuka Sana pande izo
Badilisha mazingira siku moja mojaNi karibu na ninapoishi then nafahamiana na mmiliki na manager!
Badilisha mazingira siku moja moja
Hii kama naijuaAsubuhi asubuhi nimekuja kulipa bill ya jana[emoji30][emoji30]
Ila lazima nishtue mbili tatuView attachment 1218426
Hii kama naijua
Palm view kulikuwaga na wahudumu wazuri hapo, ila muleba, hambagai wachafukoga wengiNabadilisha kila Mara ,hizi ni bar Zipo Jirani na nipo karibu nazo
Small world,Jasu,Ibungu,Muleba,Gongazote,Freeland,Jambo,Hambagai,King'ole,Goodtime,Burudani,Mengeni,Rombo,Palm. View
Kweli!Palm view kulikuwaga na wahudumu wazuri hapo, ila muleba, hambagai wachafukoga wengi
Mapema baada ya kutoka kanisani now nipo King'ole Club
Siachi kuja Hapa [emoji16] View attachment 1218719
Duuu yale magoma kule kama yanakunywa hvyo vibia yatafilisi bar...labda yashushe mizinga mitatu ya nyagi