MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,460
- 1,476
Na Hao Mashangazi Wanakuaga Kila Siku ?Mapema baada ya kutoka kanisani now nipo King'ole Club
Siachi kuja Hapa [emoji16] View attachment 1218719
Na Hao Mashangazi Wanakuaga Kila Siku ?Mapema baada ya kutoka kanisani now nipo King'ole Club
Siachi kuja Hapa [emoji16] View attachment 1218719
[emoji3][emoji3] Are You Serious? Bila Shaka Unachangamsha Kijiwe Kaka MshanaAround lita 5 hivi na hiyo ni siku moja tuu... Mimi mwenyewe bila valuer 2 na kiki 3 bado sijajisikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inasaidia Kwa kiasi fulani kupunguza ukali wa hicho kinywaji kikali na kukupa ladha flani smooth,si unajua tena konyagi/kvant ilivyo chungu inapita kooni Kwa tabu bila ku diluteHivi limao huwa zinasaidia nini kwenye gambe?.msaada tafadhari.
Duh aliendaga wapi?Aikija hapa nidai bia 10
Duh aliendaga wapi?
Wote tuseme amenView attachment 1222559
Brother leo balaa tupu leo
Leo wikiendi unaianzia wapiBrother leo balaa tupu leo
5n ndo naenda karibuLeo wikiendi unaianzia wapi
Hivi bei ya Hennessy hyo ya chin ni Sh ngapi mkuu? [emoji12][emoji134][emoji134]
Ipo kimara? tuombe uzima naweza fika maeneo hayo tujumuike pamoja5n ndo naenda karibu
Daah kama nipae vileHalafu ni pale kwa nyuma ya kituo cha wese
temboni,huwezi kosa uzimaIpo kimara? tuombe uzima naweza fika maeneo hayo tujumuike pamoja