Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,749
Taratibuuu
Wapi hapa mkuu...TaratibuuuView attachment 1218891
Naona upo na karatasi ya kusukia mkekaTaratibuuuView attachment 1218891
Wapi hapa mkuu...
Naona upo na karatasi ya kusukia mkeka
Hakika Dar panakuwa sehemu inaitwaje tuje tutembee/tunywe beer hapo...Huwezi kuamini mkuu kama nikikuambia hapo ni msumi
Dar inakua sana
Hakika Dar panakuwa sehemu inaitwaje tuje tutembee/tunywe beer hapo...
✌✌Tunasubir mualiko wako,
Wale wa Arusha leo Impala Hotel,kuna ka club ka kistaarab pale
Mzee, Robert Sontunaokunywa robertson na henessy tupo room namba ngapi humu ndani
Wahudumu wa Sasa sio kama wa enzi zilePalm view kulikuwaga na wahudumu wazuri hapo, ila muleba, hambagai wachafukoga wengi
Freeland iko wapi?Kweli!
Ila kwa sasa Huku Mabibo inayo trend
1. Ibungu
2. King'ole
3. Palm View
4. Freeland
Wo yao he pijou!Somewhere nchi za wenzetu. Mapombe ya hawa jamaa matamu sanaView attachment 1217286
Wapi Manengelo?
Ukitoka ukumbi wa Chabruma Pembeni yakeFreeland iko wapi?
Aaahhh poa poaUkitoka ukumbi wa Chabruma Pembeni yake
Mungu akubarikiNikaona jioni hii ngoja nipunge ka upepo.Ila nikakumbuka umuhimu wa kulipa kodi hata kama nipo barabarani,nikaamua niwe mtiifu bila shuruti.
NB;ULIPAJI WA KODI UKIWA BARABARANI NI HATARI KWA AFYA YAKO[emoji51][emoji51]
View attachment 1219808