Sugarsukari
JF-Expert Member
- Mar 17, 2015
- 746
- 843
Maeneo ya Nexus nalipa Kodi then taratibu naelekea Tabata
Tabata maeneo gani mzee?Maeneo ya Nexus nalipa Kodi then taratibu naelekea TabataView attachment 1200628
Kweli Mkuu, Au Unaniingiza ChakaNamezaga asubuhi mchana naendelea na mitungi bila wasiwasi
Sure mzee hazina shida hizo kazi yake kuneutralize acid tumboni tuKweli Mkuu, Au Unaniingiza Chaka
Bila shaka... Kwa Raha zakoWakuu Nimemeza hiiJana , Ya Kuondoa Gesi, Vipi Naweza Endelea na Ulabu ?View attachment 1200583
Tabata maeneo gani mzee?
Muda bado kidogo...ila mida mida pata kusogea 40Kitambaa cheupe now but pamepoooa natafuta pa kuhamia
Muda bado kidogo...ila mida mida pata kusogea 40
Kitambi hichooKazi na dawaView attachment 1200764
Hongera mkuu [emoji481]
Jirani kwema!?
Unakulaga vitu vya mbele mbele sana
Ulikuwa unalewa pombe gani mkuu duh.Daah kwa hizo kucha sijui papuchi itasafishwaje hapo,anyway niko nalipa kodi hapa diamond-Mwanza.
Jioni njema,acha Leo nile ngumu coz naumwa na kifua na ndo nimeambiwa dawa ni konyagi.View attachment 1200891