Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Pilsner King, ni balaa, juz ijumaa tulikuwa Maeneo ya Goba, tuko washkaj wanne, mara Mmoja akasema Wife anakuja anataka ale hapa, baada ya Muda akaja, sasa yule jamaa aliekuwa anakunywa Pilsner akawa ameshakunywa 3,.so akaagiza na konyag ndogo,.dah, sasa mshkaj aliyekuja na mke wake akaenda alipe bill ya chakula ili amrudishe wife Home,.sasa huku nyuma jamaa wa Pilsner konyag akamwambia mke wa jamaa kuwa Mume wako ni mtu wa totoz sana, anapenda hata wahudumu wa bar,
hatar sana... ile kitu sio ya kuchezea
 
2015 Baada ya Kumaliza Kidato cha Sita, tokeo lilipotoka nilifurahi sana, nikasema ngoja leo nipige vitu.. Nilipiga Maji kinoma, kiroba, safari, k-vat, konyagi zote nilichanganya.. Bahati mbaya saana ilinyesha Bonge la Mvua.. walionibeba waliniambia walitembea kama hatua 100 hivi hawanioni.. kuja kunitafuta wanakuta Naelea juu ya Maji huko.. Pombe sio Chai..
 
Pole sana faza,.
 
Mpaka Serengeti light kweli maendeleo. Ina tofauti gani na normal? Kuna mtu nimetumiwa kavaa sandozi pair tofauti je mwenzake hakunote?
.
IMG-20180911-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom