Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,734
- 870,489
- Thread starter
- #20,941
Pwani raha sanaMjini Raha sanaaaa. Sahivi ni saa tano asubuhi Ila mazingira niliyopo utafikiri saa nane usiku.View attachment 1217122
Pwani raha sanaMjini Raha sanaaaa. Sahivi ni saa tano asubuhi Ila mazingira niliyopo utafikiri saa nane usiku.View attachment 1217122
Hahaaaa pwani mmetishaPwani raha sanaView attachment 1217125
Kisuuzio kinafaa kwa wazee wa konyagi. View attachment 1211651
Tunasubir mualiko wako,
Wale wa Arusha leo Impala Hotel,kuna ka club ka kistaarab pale
Jeiga she hong jioSomewhere nchi za wenzetu. Mapombe ya hawa jamaa matamu sanaView attachment 1217286
😀 😀Inapatikana wapi hiii
Pwani raha sanaView attachment 1217125
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii chemistry unaweza maliza bapa kubwa fasta na usihisi kulewa ila sasa ulevi wake unahamia pale muda wa kulala.
Sasa kama ulikuwa na mtu bora umkamilishie huduma mpaka mwisho la sivyo utakurupuka asubuhi na kumkuta yupo na nguo zake toka jana.
Jeiga she hong jio
Aise nilipokuwa nasoma hapo chuo (UDOM) Nilikuwa nashuka hadi mitaa hiyo kuna dada anauza choya safi Chaduru hapo anaitwa Pendo Rass ..,Dah nimekumbuka Sana pande izoDom chadulu napata choya komoni na kangara