Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nipo Kamche's Pub Mwenge opposite naangalia Full Gospel Bible Fellowship Kwa mzee Kakobe
IMG_20190806_171731.jpeg
 
Ipo Mabibo Relini
Kama Unatokea kigogo Mwisho, unapita Loyola, Mabibo Mwisho stand unanyoosha km unaelekea ubungo maziwa, ukivuka reli tu mkono wa kushoto ndio utaiona Ibungu mubashara
Kama unatokea Big Brother au kona, Unakuja mpaka Chuo cha Usafirishaji NIT unapita mbele kuna Petrol station [emoji579] Unakunja kulia unavuka reli mkono wa kushoto ndio utaiona Ibungu mubashara
Kama unatokea ubungo stand kupita njia ya ubungo maziwa ukishavuka Ile njia panda ya kuelekea external na makaburi ya UFI bandari ya nchi kavu, mbele kuna kanisa, kisha kuna wakala wa CRDB Bank mbele kidogo kabda hujavuka reli njia inayoelekea Uwanja wa Sahara mkono wa kulia utaiona Ibungu mubashara
Kama unatokea Mabibo Makaburi, external au Riverside Unakuja mpaka mataa ya external Unapitia hiyo njia yenye madaraja mawili barabara ya Shungashunga njia panda ya kuelekea ubungo maziwa na makaburi ya UFI bandari ya nchi kavu,unakunja kulia, mbele kuna kanisa, kisha kuna wakala wa CRDB Bank mbele kidogo kabda hujavuka reli njia inayoelekea Uwanja wa Sahara mkono wa kulia utaiona Ibungu mubashara
Nitapita hapo nijionee maana naona sifa ni kede kede
 
Mkuu Umetisha aisee kwa Maelezo Hayo Sintapotea Nitakaribia Hapo Kulipa Kodi.
 
Uwe makini sana na hiyo bar inajaa sana, na kuna watoto wa mbwa wale wa mabibo, manzese, mburahati etc.. especially kama ni mtu wa kunywa mpaka late hours. Kama uko pekeyako usiache bia alafu uje uinywe, maliza kabisa ukija ufungue nyingine mpya... na kuna siku zilishawahi kulia hapo wazee wa kazi walikuja kuchukua chao...
 
Kuna siku nimechil pale ikakarubia saa 7 usiku, mara defender hili hapa linapiga ilani, duuh watu walifunguka fasta
 
Uwe makini sana na hiyo bar inajaa sana, na kuna watoto wa mbwa wale wa mabibo, manzese, mburahati etc.. especially kama ni mtu wa kunywa mpaka late hours. Kama uko pekeyako usiache bia alafu uje uinywe, maliza kabisa ukija ufungue nyingine mpya... na kuna siku zilishawahi kulia hapo wazee wa kazi walikuja kuchukua chao...
Duh!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom