WALDO
JF-Expert Member
- Mar 15, 2019
- 429
- 440
mikono mizuri kama MziguaView attachment 1175652 Nyumbani park
mikono mizuri kama MziguaView attachment 1175652 Nyumbani park
Piga vyombo sasa maana msosi ni wa maana kabisa.View attachment 1175652 Nyumbani park
Aaaah pole sana mkuu...mimi nadhani yale mapombe meupe ni dawa kwasababu sijawahi kuumwa kabisa toka 2004
Dah pole sana boss wangu kama utaona hali sio nzuri fanya uje bugando hosptal uku nitakupokea mimi na nadhani utapata huduma ipasavyo bila usumbufu, japo najua ni mbali toka uliko uko,, unitaharifu tuu mda wowote kama utakua na uhitaji huo.
[emoji39][emoji39]Napenda kiepe aina hii ..kinakuwa na ladhaa[emoji39][emoji39]!Napamis
Nice,nimeupenda pia mkono
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimekubali mzeemama...mtoto kama ananawia tui la nazi, asante kwa kunishtua nije kuona navyovipenda
Pole sana mkuuYaan ww mtu wa pili kunishauri hvyo..on a serious note naumwa sana..sema nakaza tu sina jins
Mimi nimeona mkono tu [emoji41]
Habari yako mkuu[emoji23][emoji23]
Hapana kwakwel hyo sijaionaChui je?
Kama unauliza hili swali naamini basi hupaswi fafanuliwa nduguUtamu wa pombe ni upi hasa? Ladha? Au ile stimu ikishakolea..?
Mungu akurehemu mpendwaYaan ww mtu wa pili kunishauri hvyo..on a serious note naumwa sana..sema nakaza tu sina jins
😂😂 Umesema😂😂 uwiii...nife basi baada ya uchaguzi 2020Mungu akurehemu mpendwa
Aiseee🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤣🤣🤣🤣 🤣😂😂 Umesema😂😂 uwiii...nife basi baada ya uchaguzi 2020
🙌🙌🙌Aiseee🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤣🤣🤣🤣 🤣
Niko maji mbaya ndugu yangu tusameheane bure
🙏🙏
😂😂😂..Ntapona ghafla...jion ya kesho nakuwa nishawasili Chato kula pilau lamsiba mie🙏🙏
Tena ngoja niache kuchati nisije nikashtukia nimemuandikia r.i.p mkuu wa nchi🚶🏽♂️🚶🏽♂️
Kuna moja hivi ngoja nikutafutie link. Utafurahi mwenyeweHivi kwanini matangazo ya pombe yanakua yakivutia sana?