The Retired Planner
Senior Member
- Sep 22, 2015
- 166
- 242
Ni ngumu kupita bila kuangalia kidogoWanawake ni Mapambo ya dunia! lakini me mmezidi kwa shingo feni duuuh!
Punguzeni basi aisee. Au na sie ambao hatuna mizigo muwe mnatuangalia basi angalau na sie tufarijike.![]()
![]()
huwezi ukakosa mzigo wewe mwandiko wako tu unaonyesha uko njemaBora uwaambie mana saa nyingine kama umefuatana na mtu amani inakosekana kabisa na kuwaza kila akikutana na mzigo lazima ageuke.Wanawake ni Mapambo ya dunia! lakini me mmezidi kwa shingo feni duuuh!
Mkuu hamuoni hata aibu daah.Ni ngumu kupita bila kuangalia kidogo
Ashawahi kunibamba sema ndio hvyo, macho ya wanaume!Ujue mnanichekesha aisee. Kila mbinu mnazo ilimradi mtimize adhma yenu.
Hamfai hata kidogo kwa kweli. Ngoja sik akushtukie huo mnuno wake hutarudia tena mkuu.
Wacha weee.![]()
![]()
huwezi ukakosa mzigo wewe mwandiko wako tu unaonyesha uko njema

Aibu ya nn ujue hujazoea tu ukizoea wewe mwenyewe utakuwa unamstua mshkaji wako aangalie vifungashio huku mnafurahi pamoja maana unajua tu ni fahari ya macho hawezi fanya kituMkuu hamuoni hata aibu daah.
Ukashushuka mwenyewe. Hakukununia?
Ujue tunatamanigi kuwaangalia sema nyie mnakua mko fasta sana kwenye kutembea, alafu mnakutaga mko na wanaowamiliki, kiukweli nundu nyingi unakutaga ziko zenyewe alafu ziko slow sana.Punguzeni basi aisee. Au na sie ambao hatuna mizigo muwe mnatuangalia basi angalau na sie tufarijike.![]()
![]()

Huwa nafanyaga hivyo saa nyingine ila kwa upande wa pili kiroho kinauma mana najua lazima atageuka tu bora nimuonyeshe.Aibu ya nn ujue hujazoea tu ukizoea wewe mwenyewe utakuwa unamstua mshkaji wako aangalie vifungashio huku mnafurahi pamoja maana unajua tu ni fahari ya macho hawezi fanya kitu
Natumia tu hiyo avatar yako kujenga taswira mkingamo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Niwazie tu mkuu.

Na wakifika home wanajipigia puchu tuuAmini nakuambia huoni vijana wanaenda ufukweni hawaogelei wala nn wanakaa pembeni wanakula kwa macho hao wanasepa na mapicha kibao kichwani
Hahaaa. Na chini imepigwa pasi kabisa hakuna hata cha kutokea kwa nyuma.
Huwa nafanyaga hivyo saa nyingine ila kwa upande wa pili kiroho kinauma mana najua lazima atageuka tu bora nimuonyeshe.

Ila ujue kuna utofauti mkuu.![]()
![]()
![]()
Ndo ivyo mbona nyie mkianza kutamani fashion za nguo na Peruvian hair sie tunakausha tu, sisi tukishasafisha macho ndo imetoka ivyo.![]()
si wameondoka na mapicha kibao kichwani