Aisee kaka masai sikuwezi. Yaani hivyo ukisafisha macho moyo wako unakuwa burudani kabisa.Hata niwe wapi huwa siachi kusafisha macho... hatakama ni kwenye kikao
Basi mkuu mna hatari aiseeTunavitamani sababu vinatamanisha alfu chura zipo tofauti kila moja inamvuto wake ya wema na ya Gigy hazifanani ndyo maana huwa tunatamani kila chura ipitayo.
Hahaaa. Huwa siamini aisee.Lakini tunaangalia tunakula kwa macho tu hakuna ubaya wowote mnaogopa bure tu
Hahaha, kwani bibie hujajaliwa hizo neema flani flani (ashakum si matusi lakini)Sie tunaumia roho lakini ujue pacha.
Saa nyingine hadi hamu ya kufuatana na nyie inapotea mana kila mnapopishana na mizigo lazima shingo igeuke.

Tuliambiwa enendeni mkavitawale vyote..sasa utavitawalaje kama hauvijui...Aisee kaka masai sikuwezi. Yaani hivyo ukisafisha macho moyo wako unakuwa burudani kabisa.
Ila vibaya hivyo mjue.
Hahaaa. Nimejaliwa kidogo mkuu sio sana.Hahaha, kwani bibie hujajaliwa hizo neema flani flani (ashakum si matusi lakini)![]()

Aiseee.Sio vibaya kusafisha macho jamani hahahahahh hahah
Kwakweli kuosha macho Mara moja moja sio mbaya.Hata niwe wapi huwa siachi kusafisha macho... hatakama ni kwenye kikao
Amini nakuambia huoni vijana wanaenda ufukweni hawaogelei wala nn wanakaa pembeni wanakula kwa macho hao wanasepa na mapicha kibao kichwaniHahaaa. Huwa siamini aisee.
Aisee. Kaka masai saa nyingine sinaga jinsi tena ikibidi kama hujageuka naweza kwambia geuka kule uone lol.Tuliambiwa enendeni mkavitawale vyote..sasa utavitawalaje kama hauvijui...
Emmy siku hizi na nyie naona hampo nyuma kugeuka?
Hatari mnaisababisha nyie cjui iyo mizigo huwa kwann mnaibebelelea huko nyumaBasi mkuu mna hatari aisee
Hahaa. Ndio mana wanakuwaga wengi eee.Amini nakuambia huoni vijana wanaenda ufukweni hawaogelei wala nn wanakaa pembeni wanakula kwa macho hao wanasepa na mapicha kibao kichwani
Hii lazima aseeh... hakuna kuachaKwakweli kuosha macho Mara moja moja sio mbaya.
Hahaa. Ndio ipo tena unadhani wafanyeje na haifichiki.Hatari mnaisababisha nyie cjui iyo mizigo huwa kwann mnaibebelelea huko nyuma
Usiogope bhana ukiona tunaangalia sana unakuta tunajiuliza "hivi njia ya kwenda Mbinguni si nyembamba sasa yeye na hili zigo lote atapitaje?" Tunaishia kutikisa kichwa na kuendelea na safariHahaaa. Nimejaliwa kidogo mkuu sio sana.![]()
![]()

Uliwah ona nyuki anatua kwenye ua moja kila siku?Kwani uliefuatana nae sio ua hadi ugeukie ua la mwenzio?
Hamna tukiangalia vile mioyo inasuuzika stress za maisha zinapungua kidogoHahaa. Ndio mana wanakuwaga wengi eee.
Ila inakuwaga na ushawishi hamjui tu.