Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Hayo matangazo ya kuwekwa kwenye miti bora yapigwe ban, yabaki ya mtindo wa hewani kama Jaza UjazweHivyo mtu akiwa peke yake kuosha macho ruksa. Ila kuna wengine hata hawawi peke yao ila lazima wageuke wasome matangazo. Lol

