atouch
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 303
- 184
Mnatupaga shida hamjui tu mkuu. Bora basi hata mkiwa peke yenu.Unadhani tunapenda basi samtaims macho nayo yanakuwa na udadisi na shauku ya kujua zaidi,mhenga aliyesema macho hayana pazia hakukosea,unajikuta tu ushageuka hata kama uko na waifu.
Hahaha halafu matangazo yenyewe bure kabisa.Kuna wakati unakuta linapita TANGAZO alafu uko na wife kwenye gari, unaishia kusomea kwenye side mirrors !! utafanyaje sasa ndio tulishaumbwa wanaume....!! Hapana chezea matangazo wewe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa. Nshajionea swahiba.Yupo atakuwa ameshaona![]()
![]()
Ha ha haaa!Hapo mnara umesoma jamaa kazuia na mkono.
Angalia usije kuzoea vibaya ukajisahau mpaka kanisani ukataka usome matangazo!Hata niwe wapi huwa siachi kusafisha macho... hatakama ni kwenye kikao
Hewaaa hapa mimi napaki gari nashuka ili nipate vision iliyotukuka.
Mkuu vumilia tu fahari ya macho haifilisi duka,mara nyingi huwa tunaangalia tu,alafu inaishia hapo.Mnatupaga shida hamjui tu mkuu. Bora basi hata mkiwa peke yenu.
Lazima walio kaka mbele ya gari wote uvunje miguu...Hewaaa hapa mimi napaki gari nashuka ili nipate vision iliyotukuka.
Huyu jamaa hapa kachemsha !! Hizi mambo za kusoma matangazo zina style yake. !! UNAGEUZA MACHO KAMA KINYONGA WAKATI MWILI UNAENDA MBELE ILA WEWE AKILI NA MACHO YOTE YAKO KUSHOTO...
hapa ilibidi demu amkabe jamaa![]()
Ndio maana huwa na mimi nakuwa wa mwisho kutoa sadaka ili nione tuHata niwe wapi huwa siachi kusafisha macho... hatakama ni kwenye kikao
Huyo jamaa nafikiri mwishon huko alikula makofi ya hajaHuyu jamaa hapa kachemsha !! Hizi mambo za kusoma matangazo zina style yake. !! UNAGEUZA MACHO KAMA KINYONGA WAKATI MWILI UNAENDA MBELE ILA WEWE AKILI NA MACHO YOTE YAKO KUSHOTO...![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app