atouch
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 303
- 184
Kabisa ! Na hata usiku atakuwa alilala mzungu wa nne !! Sio kwa kugeuka huko...Huyo jamaa nafikiri mwishon huko alikula makofi ya haja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa ! Na hata usiku atakuwa alilala mzungu wa nne !! Sio kwa kugeuka huko...Huyo jamaa nafikiri mwishon huko alikula makofi ya haja
Kabisa ! Na hata usiku atakuwa alilala mzungu wa nne !! Sio kwa kugeuka huko...
Sent using Jamii Forums mobile app

Aiseee
Hahaaaa. Baada ya hapo unasepa. LolHewaaa hapa mimi napaki gari nashuka ili nipate vision iliyotukuka.
Aisee. We kiboko bana. Lol.Ndio maana huwa na mimi nakuwa wa mwisho kutoa sadaka ili nione tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa. Sijulikani naangalia mbele au nimegeuka nyuma. Yaani tabu tupu mkuu.
Hahaha nakemea na kutubu alafu nasepa.Hahaaaa. Baada ya hapo unasepa. Lol
Au unamalizia na kwenye mirror.Hahaha nakemea na kutubu alafu nasepa.
Hahaha huyu jamaa atakua kuni ya kuchomea wenzake wallahAisee. We kiboko bana. Lol.

DuuhHahaaaa. Sijulikani naangalia mbele au nimegeuka nyuma. Yaani tabu tupu mkuu.
Umeonaeee. Hatabaki aisee. Mana hachagui pa kusomea matangazo. Hahaaa.Hahaha huyu jamaa atakua kuni ya kuchomea wenzake wallah![]()
![]()
Acha kabisa nimecheka mbayaAu unamalizia na kwenye mirror.
Ila huu uzi umenichekesha sana aisee.
Pole sana swahiba. Hatari sana ujue.Duuh![]()
![]()
![]()
Nimecheka mpaka nahisi mbavu zinauma ujue.
Sasa najiuliza kama anatoa sadaka wa mwisho, na dude lishaamshwa na mizigo sijui inakuwajeUmeonaeee. Hatabaki aisee. Mana hachagui pa kusomea matangazo. Hahaaa.

Ila nyie ndio mna vituko aisee. Siwawezi mjue.Acha kabisa nimecheka mbaya
Hahaaa. Itakuwa koti na suti analovaa ni refu kidogo mana sio bure.Sasa najiuliza kama anatoa sadaka wa mwisho, na dude lishaamshwa na mizigo sijui inakuwaje![]()
![]()