Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

Status
Not open for further replies.
SAFI Sana, -------, acha UMALAYA, tena unabahati wangekutoa hata hiyo Bukta, DOMO ZEGE mkubwa, na isitoshe wewe inawezekana ni mume wa mtu. IBILISI MKUBWA.

Wewe ni me au ke? Mbona umewaka sana?
 
bora mahakama ya kadhi (SHARIA LAW) ianzishwe tuanze kukata watu mikono labda uzinzi utapungua
 
Wasalam wadaujapo ni mwezi mtukufu bado kina dada poa wa pale Sinza Mori opposite na Big Bon Petrol station wanapiga kazi ya maana. Lakini shida yao ni wezi kwa wateja wao nimekuja hapa JF kuwataahadharisha wale wenzangu mnaowachukua kujitahadhari maana wanapaka dawa Fulani kwenye chuchu sasa unapoenda nae Chemba anajidai ana hamu ya kunyonywa chuchu ile kumnyonya tu unalewa na kuishiwa usingizini na anakukomba vitu vyote. Mimi Jumamosi nimemchukua demu Fulani bonge hapo nikaenda nae pale UNIVERSAL GUEST HOUSE nimejishtukia asb nimebaki na bukta kuwauliza watu wa hotel wanadai hawamjui na aliondoka saa 1 asubuhi hiyo. CHUKUA TAHADHARI

Kuanzia sasa natembea na maji!
Kabla ya shughuli nafanya usafi kuanzia ................mpaka kwenye chuchu asante kwa taarifa.
 
Ukanda wote kuanzia SINZA MORI mpaka BAMAGA wamejaa hao wadudu ukigonga jihadhari kwa usalama zaidi tembea na wembe kisha ukifika room chana godoro ndo uweke wallet yako (Hakikisha huyo changu haoni unavyochana godoro)
 
Yani ukienda nae room, unaenda na mshahara wake na condom peke yake.. Wallet na nauli unaacha kwa wana...
 
Hahahahaaaaaa...

Tahadhari muhimu usicheke hata michepuko mingine siku hizi majanga!. Usione mafunizi zingine ni mipango wa Michepuko isiyokuwa na Uaminifu.

Anyway kuwa salama baki ''njia Kuu-Michepuko siyo dili''.

bora mahakama ya kadhi (SHARIA LAW) ianzishwe tuanze kukata watu mikono labda uzinzi utapungua

Mikono wanakatwa wezi maana mikono ndio inatumika kuiba,

Kwenye uzinzi nako kunakatwa kiungo kinachotumika kuzini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom