STEIN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,770
- 553
Sihitajii kufkiria vsivyofikirika kwa sasa... hata ingesemwa unafanyikia uwanja wa Taifa pasingetosha bado lawama zingeliendelea...
WATANZANIA HATUNA MIPANGO! SI SERIKALI WALA SISI WENYEWE TUPOTUPO TU!
Hatujipangi ili tufanye jambo TUNAKURUPUKA tu na HAYA NDIO MATOKEO YAKE... hajumjui adui yetu mpaka leo!!!
Kuwa makini na kuwalaumu wananchi, waliopendekeza kuwe na sehemu tatu za kutolea maoni ndiyo wapumbavu na wewe unayelaumu wananchi ni mjinga kwani hakuna mwananchi aliyepropose hizo kumbi zina tosha sasa wewe point ya kuwalaumu wananchi inatoka wapi kama si upunguani?
Hivi unaweza kuchukua maoni ya waTZ 42 mil kwa siku moja wewe unategemea nini, nakuheshimu sana lakini katika hili la kuwa laumu wananchi sikubaliani na wewe hata kidogo.