Mabomu ya Machozi yatumika kuwasambazi wananchi pamoja na Wanafunzi Mjini Dodoma

Sihitajii kufkiria vsivyofikirika kwa sasa... hata ingesemwa unafanyikia uwanja wa Taifa pasingetosha bado lawama zingeliendelea...
WATANZANIA HATUNA MIPANGO! SI SERIKALI WALA SISI WENYEWE TUPOTUPO TU!

Hatujipangi ili tufanye jambo TUNAKURUPUKA tu na HAYA NDIO MATOKEO YAKE... hajumjui adui yetu mpaka leo!!!

Kuwa makini na kuwalaumu wananchi, waliopendekeza kuwe na sehemu tatu za kutolea maoni ndiyo wapumbavu na wewe unayelaumu wananchi ni mjinga kwani hakuna mwananchi aliyepropose hizo kumbi zina tosha sasa wewe point ya kuwalaumu wananchi inatoka wapi kama si upunguani?

Hivi unaweza kuchukua maoni ya waTZ 42 mil kwa siku moja wewe unategemea nini, nakuheshimu sana lakini katika hili la kuwa laumu wananchi sikubaliani na wewe hata kidogo.
 
maumivu ya kichwa huanza pole pole...kinachofanyika hapa ni kuahirisha kifo tu. Kama wananchi hawaridhiki na yanayoendelea hata itumike nguvu kiasi gani siku inakuja ambayo HATAMU ya nnchi itarudi mikononi mwa mwananchi mwenyewe!
 
post kama hizi huwa zinanikera ile mbaya, na zinanikera hivi: kosa alifanye mwingine halafu alaumiwe mtu mwingine kisa tu huyo unayemlaum una chuki nae, this is not fr. Katika hili mimi kilio changu naomba aliye panga mdahalo ufanyikie sehemu ambayo haitoshi watu wengi. Ivi wewe sweet unataka kuniambia Jk ndio alichagua huo ukumbi au ndiye katoa sauti kuwa FfU piga hao. nakuomba uache ulimbukeni huo. jana niliona mtu mwingine wa sampuli yako eti mtoto wake kapata Division four kisha anamlaumu Jk na anadai kama slaa tungemruhusu kuwa rais eti mwanae angepata Dvsn One, mawazo kama haya naona mtu huwa anayatype baada ya kuvuta bangi

Kwaio zikikukera tufanyeje? Ongea na mmeo huko nyumbani akubembeleze. Hapa sweetlady kaweka vitu sawa,nini wewe unachotaka watu wawe na mawazo mgando kama wewe??

Acha uvivu wa kujifikirisha,fungua ubongo wako japo una mafungu machache.

Serikali haiwezi kuita public hearing haf waweke ukumbi mdogo bado tuseme sio uzembe wao! Inamaana hawajui idadi ya watu walio dodoma mjini na vitongoji vyake? Au kujua hili nalo lilikuwa linahitaji another public hearing??
 
Sio kweli Muhosin, Ukumbi hautoshi wangekaa wapi? na bunge ni sehemu ya kuheshimiwa wao wana mabango wanawaza vurugu tu, katika hili natetea kwasababu nashuhudia, ukumbi ni mdogo, kosa labda ni kuchagua ukumbi that all.
kama Bungeni sehemu ya kuheshimiwa je hukusikia bunge lililopiga walivyo geuza kijiwe cha kusutana....hapo kulikuwa na heshima gani...na je kulikuwa na ulazima gani kufanyia kwenye ukumbi wa bunge...
 
post kama hizi huwa zinanikera ile mbaya, na zinanikera hivi: kosa alifanye mwingine halafu alaumiwe mtu mwingine kisa tu huyo unayemlaum una chuki nae, this is not fr. Katika hili mimi kilio changu naomba aliye panga mdahalo ufanyikie sehemu ambayo haitoshi watu wengi. Ivi wewe sweet unataka kuniambia Jk ndio alichagua huo ukumbi au ndiye katoa sauti kuwa FfU piga hao. nakuomba uache ulimbukeni huo. jana niliona mtu mwingine wa sampuli yako eti mtoto wake kapata Division four kisha anamlaumu Jk na anadai kama slaa tungemruhusu kuwa rais eti mwanae angepata Dvsn One, mawazo kama haya naona mtu huwa anayatype baada ya kuvuta bangi

Mr. Mark, haupaswi kukerwa na hizi post, inategemea unazisoma toka kona gani. Watu wanataja jina la Mheshimiwa Rais wetu Kikwete mara nyingi hawamshambuli yeye kama Kikwete (mtu) bali kama Rais (Taasisi/serikali). Mfano ulioutoa wa mzazi kulalamika mtoto wake kufeli kwa sehemu kubwa inaweza kusababishwa na Mipango mibovu ya serikali ya uanzishwaji wa shule za kata bila kuwa na vitendea kazi kama vitabu na waalimu wa kutosha. Kuna shule za kata ina wanafunzi form 1 mpaka form 3 lakini kuna waalimu 2, hivi wanafunzi wakifeli utasema hawa wanafunzi hawana akili kweli? na mzazi akilaumu Kikwete kama Taasisi/serikali kwa kushindwa kupeleka waalimu pamoja na kuwaandalia mazingira mazuri wale waliotayari kwenda kufundisha utasema wanamuonea Kikwete? Hata Mheshimiwa Rais anafahami si tuhuma zote zinazoelekezwa kwake ni za Jakaya mtoto wa Mrisho bali ni za serikali yake na zinakwenda kwake kwasababu yeye ni mkuu wa hiyo serikali. Hata Dr. Slaa akipewa urais ataraumiwa yeye kwa makosa ya serikali atakayoiongoza
 
Kuwa makini na kuwalaumu wananchi, waliopendekeza kuwe na sehemu tatu za kutolea maoni ndiyo wapumbavu na wewe unayelaumu wananchi ni mjinga kwani hakuna mwananchi aliyepropose hizo kumbi zina tosha sasa wewe point ya kuwalaumu wananchi inatoka wapi kama si upunguani?

Hivi unaweza kuchukua maoni ya waTZ 42 mil kwa siku moja wewe unategemea nini, nakuheshimu sana lakini katika hili la kuwa laumu wananchi sikubaliani na wewe hata kidogo.
Huyo jamaa hata mie uwa nashindwa kumwelewa na sintokuja kumwelewa kamwe....fuatilia maoni yake kwenye topic za siasa na utaelewa kuwa huyo jamaa ni zuzu....yaani anakera mpaka basi
 
Serikali ya JK inajifanya kuwa ni kiziwi na kipofu. Wananchi walishaamua ni vipi huu mjadala uendeshe lakini JK na serikali yake wanaona kuwa wenyewe ndiyo wenye huu mjadala. Ukifanya experiment ya kuchanganya Maji (H2O) na Sulphur dioxide (SO2) utapata Sulphuric acid (H2SO4) period. JK anataka kufanya experiment kuona kama kweli ukiwanyima wananchi haki zao yatatokea kama yaliyotokea Misri, Tunisia, Libya na kwingineko. Time will tell.
 
Mbona kama viongozi karibu wote wa serikali walikwenda kwa babu kunywa kikombe? Kuna wagonjwa wa akili ambao nasikia walipelekwa kwa babu kupata kikombe wakapona. Au ukiwa fisadi na umezoea kunyima wananchi haki kikombe kinadunda? Angalau kama walipona maradhi yaliyowapeleka kwa babu basi akili zingepata nafuu.
 
kama Bungeni sehemu ya kuheshimiwa je hukusikia bunge lililopiga walivyo geuza kijiwe cha kusutana....hapo kulikuwa na heshima gani...na je kulikuwa na ulazima gani kufanyia kwenye ukumbi wa bunge...

Mkuu baadhi yetu tumezoea kurudia maneno yanayosemwa na viongozi wasiotenda haki bila kuja maana na muktadha wa maneno yenyewe. Fisadi akisema tuenzi amani halafu na wewe usiye fisadi ukarudia maneno hayo nadhani unageuka kuwa chiriku tu. Amani kwa fisadi ina maana na mataratio tofauti sana na amani kwa mwananchi anayedhulumiwa na serikali kila siku.

Mfano ni huu mswada, sasa tusipigane kuuweka sawa kwa sababu tutahatarisha amani. Kwa nini serikali isiogope kuhatarisha amani ikatekeleza ushauri na maoni ya wananchi?
 
Nguvu zinapotumika ku-contol mob kuliko Akili na busara zitalipeka taifa hili pabaya
 
Kama tatizo ni uwezo wa ukumbi basi hakukua na sababu ya kutumia ukumbi wa msekwa ilhali inafahamika ni mdogo,kwani kulikua na tatizo gani kutumia ukumbi wa chimwaga...au ha ta uwanja wa jamhuri kwani hakukua na la siri lililokua linazungumzwa..ss iweje leo majadiliano hayo yawe kama kitchen party kiasi kwamba waingie watu wachache..!?
 
Mkuu wa mkoa wa Dodoma amepiga marufuku wanasiasa kuhamasisha wanafunzi wa UDOM. Godbless Lema naye akajibu kwamba aliwaagiza wanafunzi waje kutoa maoni yao hakuwaagiza waje kuleta fujo, kwamba tatizo ni logistics za kuingia bungeni na maandalizi duni.

Mimi najiuliza kama huyu mkuu wa mkoa anajua nguvu ya teknolojia ya simu na blogu. Bado anaamini kwamba kuhamasisha ni hadi mtu akafanye semina na makongamano - kugawa posho na tshirts
 
Ni kweli mkuu,
Sometimes I wonder why some folk pretend to know things they so obviously don't.Siku zote incompetent leaders wanaficha udhaifu wao kwa njia hiyo
 
post kama hizi huwa zinanikera ile mbaya, na zinanikera hivi: kosa alifanye mwingine halafu alaumiwe mtu mwingine kisa tu huyo unayemlaum una chuki nae, this is not fr. Katika hili mimi kilio changu naomba aliye panga mdahalo ufanyikie sehemu ambayo haitoshi watu wengi. Ivi wewe sweet unataka kuniambia Jk ndio alichagua huo ukumbi au ndiye katoa sauti kuwa FfU piga hao. nakuomba uache ulimbukeni huo. jana niliona mtu mwingine wa sampuli yako eti mtoto wake kapata Division four kisha anamlaumu Jk na anadai kama slaa tungemruhusu kuwa rais eti mwanae angepata Dvsn One, mawazo kama haya naona mtu huwa anayatype baada ya kuvuta bangi

Unajuaje kama sio JK aliyetoa maelekezo ya wapi ifanyike, halafu inakuwaje inaitwa public hearing halafu watu wanajifungia kwenye kichumba na kuzuia wengine wasiingie, waibadilishe jina waiite private hearing basi. Boring
 
Nasema tunakokaribia kufika siko kwenyewe!! we need to act now
 
Hii public hearing vituo viko Tanganyika tu?? ndio maana wazanzibar wanasema wanaonewa, naungana nao inabidi wa uwashe moto ikibidi watangaze rasmi mchakato wa kujiengua kabisa ktk huu muungano.
 
Katibu wa bunge Dr. Thomas Kashilila amenifurahisha kusema kwamba wananchi kupigwa mabomu eneo la Bunge ni makosa kwa sababu bungeni ni kwa wananchi na bungeni mtu yeyote anaruhusiwa kujieleza kwa namna yoyote isipokuwa asimdhuru mwenzake.

Imenifanya nikumbuke kwamba kumbe wabunge ni wawakilishi wa wananchi, wanaowakilishwa wameamua kufika kwenye jengo lao halafu wanafungiwa nje na kupigwa mabomu.
 
Haya bwana, wenye mawzao ya kisasa, wenye akili sana mlonge. Ila debe tupu haliachi kutika, tutasema tu humu na matusi kibao, sijui kama kuna mtu wa kuchukua maoni yetu humu.
 
Hizi ni dalili za MALICE za MALICIOUS govt. Huwezi kusema ni public hearing halafu unawazuia watu, tena wasomi. Ila THE TIME WILL TELL
 
Back
Top Bottom