muhosni
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 1,108
- 152
- Thread starter
- #141
Huu ni mswada tu, sasa itakapofika wakati wa wananchi kutoa maoni ya katiba mpya, si ndio itafanyikia kwenye sebule/nyumba za watendaji wa vijiji halafu watasema, nafasi hakuna.
Tatizo mkuu sijaona jambo ambalo serikali imejiandaa na kulitekeleza kwa haki na ufanisi. Kila jambo ni lazima lizue ukiukaji wa haki na maandalizi duni kabisa. Halafu wananchi wanapolalamika badala ya wao kuomba radhi na kuboresha mipango yao, wanaita polisi wapige mabomu kisha wanaanza kulaumu Chadema.