Zitto atoe mrejesho, 1) amekubalina na kuhusika na maazimio?huu mkutano ni Aibu bora ya waliosusia
naona leo wanafunga mkutano Zitto kaukacha pengne haridhiki na haya maazimio ambayo ni ya kuchekesha
Zitto si kasema kajitenga kutokana na kuumwa corona.?Zitto atoe mrejesho, 1) amekubalina na kuhusika na maazimio?
2) .kwa nini hakuwepo maazimio ya kisomwa?
3) au utume wake unakoma kutumika na watawala kwenye kuvuruga nguvu ya upinzani tu.?
HAYA NDIYO MAAZIMIO YA MKUTANO WA MSAJILI NA VYAMA VYA SIASA JUU YA HALI...
Zitto yupo anapambana na covid imemdakahuu mkutano ni Aibu bora ya waliosusia
naona leo wanafunga mkutano Zitto kaukacha pengne haridhiki na haya maazimio ambayo ni ya kuchekesha
Aminia kiongoziVyama michongo - uchaguzi ukifika wanatumiwa na CCM kuwekea vyama vya kweli mapingamizi!! Watanzania wamekwishawaelewa zamani. Huyu Mkangara ndiye alisema uchaguzi wa 2020 ulikuwa poa (kupitia ki-NGO chake)! Labda wachonge wengine. Hawa vinyago wa zamani tunawajua vizuri sana.
Kwahiyo mambo ya katiba mpya tena ndo bye bye?usikute hawa wazee hawajui kama mambo wanayojadili tayari yapo kwenye katiba na sheria. mnazunguka nini wakati mchawi anajulikana? mchawi ni serikali ya CCM
Kwahiyo mambo ya katiba mpya tena ndo bye bye?
Zito ni mjanja sana. Hakutaka ahesabiwe pamoja na wajinga wanaojadili mambo ambayo katiba ilikwishayawekea utaratibu.Zitto si kasema kajitenga kutokana na kuumwa corona.?