Zuma huyu ambae katika kipindi chake chote cha urais amesababisha uchumi wa south Africa kuyumba vibaya mno . South Africa ya Thabo Mbeki ilikuepo na uchumi imara. South ya sasa imeyumba Sana kiuchumiZuma kwa hakika aliacha legacy kwa wanyonge wa taifa lake, legacy inayojitetea na kujilinda. Ndiyo maana Zuma anapofanyiwa wasiyo yaelewa na vigogo wenzake wanaliamsha dude.
Legacy ya Zuma hailazimishwi kama ya "yule" fulani katika taifa fulani. Hatuoni watu wakiliamsha dude kumtetea anaponangwa na vigogo.
Hii inathibitisha kwamba ya yule siyo legacy bali ni kiini macho ama maigizo ya legacy.
Lkn angalia baada ya kuwekwa kizuizini nchi haikaliki, haitawaliki na panachimbika. Soon ataachiwa.Zuma huyu ambae katika kipindi chake chote cha urais amesababisha uchumi wa south Africa kuyumba vibaya mno . South Africa ya Thabo Mbeki ilikuepo na uchumi imara. South ya sasa imeyumba Sana kiuchumi
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Siyo kweli. Hakuna corona Moshi. Niko Moshi muda huu.Moshi wamekutana na hasira ya Mungu baada ya kushangilia kifo cha mwendazake.
Corona imechapa familia ya mbowe
Hana legacy' yule Mungu wenuTanzania ni kubwa.
===
Mleta mada pole sana, utapona.
kwa moshi nzima wanaishi wakina mbowe tu?Moshi wamekutana na hasira ya Mungu baada ya kushangilia kifo cha mwendazake.
Corona imechapa familia ya mbowe
Kama zuma na kashfa hizo bado ana wanaomtetea, nyumbu wachache mtaambia nini taifa la jpm???Hana legacy' yule Mungu wenu
Yaani wanataka kumutetea MTU mwizi na fisadi wa kutupwa! Tangu Afrika kusini ipate Uhuru hali ya Waafrika walio wengi imebaki vile vile wanaogelea kwenye lindi LA umaskini, bado wengi wao wanaishi kwenye shanks/ramshackle - Winne Mandela aliwahi kumshutumu mumewe kwamba hakufanya lolote la kuwainua waswahili wenzake kutoka kwenye umasikini badala yake aliishia kukumbatia Wazungu na kuhachia status quo iendelee kama kawa - come Jacob Zuma huyu kajiingiza kwenye ufisadi ulio kubuhu na kujijali yeye, distant relatives na marafiki wake was karibu - kawasahu kabisa walio pigania Uhuru!! Leo hii baadhi ya uwaafrika kusini wenye akili fyatu wanaingia barabarani kutetea MTU kama huyo.Wanasikitisha sana...
Ukweli wa mambo ni kwamba wengi wa RAIA wa Afrika Kusini hawajitambui - hukuna binadamu mwenye akili timamu anaweza kumtetea Jacob Zuma hata kidogo.Lkn angalia baada ya kuwekwa kizuizini nchi haikaliki, haitawaliki na panachimbika. Soon ataachiwa.