JACOB ZUMA NA MKUKI WA UMKHOTO WeSIZWE NDANI YA ANC
Rais mstaafu Jacob Zuma wa South Africa aleta mtikisiko katika chama cha ANC baada ya kusema hataiunga mkono chama cha ANC bali atakiunga mkono chama kipya cha Umkhoto WeSizwe.
Tamko hilo ni kuwaambia watu kuwa wale wote ambao wanaunga mkono ANC, DA, EFF, PAC lakini hawafurahishwi sera za vyama hivyo basi want nafasi kuingia katika Umkhoto We Sizwe.
Rais mstaafu Jacob Zuma anasema ANC ya sasa siyo ile asilia bali kimetekwa nyara na Cyril Ramaphosa na mabwanyenye hivyo kuifanya ANC halisi kufa. Hivyo anatoa rai kwa wanaANC kuiunga mkono Umkhoto We Sizwe kuonesha kupiga ANC kunyakuliwa na mafisadi.
Je matamko ya Jacob Zuma kuelekea uchaguzi wa 2024. Tuangalie jimbo la KwaZulu Natal matokeo ya ANC yalianguka kutoka asilimia 66% Jacob Zuma alipokuwa rais lakini sasa ANC inacheza na asilimia 50% hivyo hii ina maana kuwa kwa kuangalia matokeo ya 2019 na 2021 ya KwaZulu Natal (KZN) chaguzi ndogo za serikali ya mitaa kupata asilimia 41.
Asasi tajwa ya EPOS POLL inabashiri kuwa uchaguzi wa 2024 ANC uchaguzi wa serikali za mitaa itaambulia asilimia 22 tu na hii itaipa wakati mgumu katika uchaguzi wa kitaifa.
Na pia tamko hili lina maana gani kwa chama kongwe ANC, pamoja na chama hiki kongwe kuwa na kila rasilimali na mifumo ya kukiwezesha kushinda uchaguzi lakini mgawanyiko atakaoleta Jacob Zuma kukuza makundi ndani ya ANC ndiyo umiza kichwa kwa uongozi wa ANC mpya chini ya rais Cyril Ramaphosa .
2017 ANC ilisisitiza umoja na mabadiliko (Unity and Changes), ndani ya chama. Msisitizo huo unaonesha sasa kutishia umoja na mabadiliko waliyokuwa wanayanadi kwa wanachama na mashabiki wa ANC baada ya shutuma nzito za rais mstaafu Jacob Zuma kuwa ANC ya sasa imesaliti maagano ya mwanzo juu ya sababu za kuunda ANC huko nyuma.
View: https://m.youtube.com/watch?v=f8EcoWPAf2M
Source : SMWX

How Jacob Zuma’s announcement of MK Party could shake up SA’s 2024 election…