Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,650
- 39,748
Hatuandamani tupo na mama na tunamsapoti kama hautaki jinyonge.Huyo mama uwezo wa uongozi ni mdogo ndio maana haya Mambo yanatokea sasa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hatuandamani tupo na mama na tunamsapoti kama hautaki jinyonge.Huyo mama uwezo wa uongozi ni mdogo ndio maana haya Mambo yanatokea sasa
Inshu sio Ndugai ila inshu ni kulinda uhuru wa maoni plus kupinga tozo & mikopo ya hovyo , hii haimuhusu Ndugai tu , wahanga wakubwa ni sisi ila tukio la Ndugai ni kielelezo tosha kuwa serikali haina masikio wala haina muda kuelewa malalamiko ya wananchi , AMKA TUNAONGOZWA KIDIKTETA , MSIKILIZE LISSU VIZURI UTAMUELEWA KUWA KWASASA TUNAONGOZWA NA RAIS NA SIO SERIKALI NA HUWEZI KUMKOSOA1. Alipofanya uduwanzi wa kutubu dhambi hadharani, huku akidai hakuitenda hiyo dhambi, mimi kama mkatoliki siwezi kumuunga mkono.
2. Angebaki na hoja yake kisha akajiuzulu, ningemwona mwamba.
3. Je atakuwa front line, au tayari yupo mapangoni anakokujua? Kumbuka alisaliti harakati.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] leo mnalilia maandamano? Kweli malipo ni hapa hapa duniani. Nnasema hivii hatuandamaniii na atakaesogeza pua yake barabarani apigwe mpaka achakae pumbaavu.Wananchi wapi mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sikia, kuna mambo mengi sana yakuwapeleka watz barabarani tena yanayogusa maisha yao moja kwa moja hilo la Ndugai ni cha mtoto! Lakini watu wako kimya wamelizika tu, sembuse hilo la Ndugai?
Acha watz waitwe watz
Hata kweny harakati za uhuru mlikuepo , ila nkuhakikishie mambo hubadilika ndani ya siku moja , ccm hii inakaribia kuanguka soon utarudi utajionea , giza likizid juwa panapambazuka , NAIKUMBUKA USIKU WA TRH 12/04/1980 Nchi iliyoongwa kibabe na kibaguzi kwa miaka zaid ya 100 ilipokuja kuingia mikonon ya Sergent Samuel Doe , historia inajiludia , wapo wahuni wanaisikilizia hii fursaWewe jitahidi ujitokeze nikutengue kiuno.
Kutesa kwa zamu. Eboo
Akili yako fupi , wap alisema tozo ziongezwe ? au Lumumba ilivyowa brainwash mje kujieleza hivyo?Sasa Ndugai alisema mikopo isichukuliwe ila tozo ziongezwe (equivalent na mikopo inayotaka kuchukuliwa), hivyo ndivyo wananchi walivyomtuma Ndugai sio?
hata Nyerere alikutana na watu km nyinyi kipind cha kupigania uhuruMuwe na maandamano mema, na virungu viwahusu vizuri ikibidi na viuno mtenguliwe.
hii nchi inawatu wajinga sana , ukiulizwa kipi umefanyiwa na Samia utajibu nini ?Misukuma gang misengerema sana. Inalialia kwakuwa mungu wao mdogo kapigwa dafrao na mwanamke.....
Ikiandamana tutawaomba JWTZ wapumzike, usafi tutafanya wazalendo.
Akili fupi sn ulizo nazoAnaehamasisha maandamano familia yake itangulie, sio anakunywa bia tamu huko watoto wa maskini wanatenguliwa migongo kwenye maandamano.
Nasikia wakojani hawazidi elfu 5 Zanzibar yote!Watakaotoswa nao wataanzisha ya ukabila "sukuma gang", mara watu wa kusini n.k hii miaka mitatu itakuwa interesting kwa kweli, huku mama kaachiwa zigo la misumari (mbowe) ukaskazini - wachaga.
I can foresee tribalism kwenye siasa zinazokuja
Nikusaidie kdg , inshu sio kukopa inshu ni kuweka mbele mikopo , hv unaona ni akili timamu unaenda kukopa ili ujenge madarasa kweli ? fedha za ndani zinafany kaz gani ? kiufup pale kuna upigaji na ndio maana kaul ya Ndugai imemgusa mpk ndaniKweli wajinga humu ni wengi kwamba bado unaamini kuwa Magufuli hakukopa, ukapimwe si bure kichwani mwako.
Kwani uongo Wasukuma hawasakamwi. Tunaona sana. Kifo Cha Magufuli ni fumboNdugai ni hopeless kabisa alikuwa anajua kinachoweza kifuatia, ndio maana akaleta pigo za kushambuliwa kisa mgogo, hapo mpaka mda huu wagogo wote hawatampenda mama...ngoja tuone na wasukuma nao wanafuatia usidhani Gwaji alikuwa hajui kuwa jamaa kashaweka barua mezani
Watakaotoswa nao wataanzisha ya ukabila "sukuma gang", mara watu wa kusini n.k hii miaka mitatu itakuwa interesting kwa kweli, huku mama kaachiwa zigo la misumari (mbowe) ukaskazini - wachaga.
I can foresee tribalism kwenye siasa zinazokuja
Mlitakiwa muandamane wakati magufuli anakopa kununua madiwani na wabunge wa upinzani. Kwa sasa mmechelewa hatutaki maandamano washenzi wakubwa nyie.Asante Kwa mawazo yako, Ila hao uliowataja sio hoja za maandamano.
Hoja za maandamano ni kupinga sarakasi za serikali kuhusu mseto wa tozo na mikopo isiyoeleweka vinavyomuongezea mzigo wa maisha magumu kila siku mwananchi wa hali ya chini
He was pretending kuwa anajali maslahi ya wananchi lakini he is stupid like he was beforeNiseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.
Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.
Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Binafsi naona kiupako sio Jambo jema ,taifa limeanza mwaka vibayaNiseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.
Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.
Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Vumilia ukishindwa jiuwe mama atatawala nchi hii mpaka 2030Yule mama uwezo ni mdogo Sana kuongoza hii nchi, na sasa ameshaonja utamu wa ukuu wa nchi hivyo anaupigania Kwa kila hali bila kujali wananchi wanataka nini