Ila watu wanashindwa kujiuliza Polepole na Gwajima mbona Mother hajawahi kuwajibu lolote? Jibu ni kwamba walitumia medium sahihi kufikisha ujumbe! Spika una platforms zote za kupeleka ujumbe Kwa Rais, ikiwepo kupitia Kamati Kuu, inakuwaje uanze kuropoka hovyo sehemu ambazo siyo sahihi? Huko US kwenyewe wanakosifika kwa demokrasia huwezi sikia Pelosi anamchana Biden hadharani, ni mbaya mnoo! maana Ilani ya Chama mliipigania wote, nawe uliitangaza na kuipigania kwenye kampeni, Leo hii unajitokeza unaongea pumba hadharani