Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

Misengerema hii wakati wengine wanadai katiba mpya yenyewe yanashangilia mtu kuitwa gaidi. Sasa imekula kwao inalia kama bata... Sasa kama vipi wajitokeze ili wajue kwanini nguzo ya umeme haizai papai
Hahahaha!yakitoka barabaran tutaviambia vyombo vya ulinz wakapumzikee...watuachie sie tuwagawane...ni mwendo wa mikwenzii tu mpk akili ziwarudi maana inaonekana kama imepigwa opium
 
Ugulia maumivu yako kimyakimya Acha kuendelea kuonesha ujinga wako kwa kiwango cha kutosha.

Wataalam wote wa siasa wenye hekima zao wamefurahi kujiuzulu kwa mjinga mwenzio aliyelewa madaraka akasahau hata taratibu za chama chake.

Yule ameumiza watetezi wa haki hana wa kumlilia labda kama wewe ni mkewe au mwanae.
Wataalamu wapi,hawa hypocrites na wachumia tumbo,usiniambie ujinga.
 
Msingi wa maandamano ni kitu gani?
Asante Kwa swali zuri, msingi wa maandamano ni kupinga sarakasi za serikali kuhusu mseto wa tozo na mikopo isiyoeleweka vinavyomuongezea mzigo wa maisha magumu kila siku mwananchi wa hali ya chini, Pia na gharama kubwa za maisha zilizoongezeka kwenye utawala huu
 
Hahahaha!yakitoka barabaran tutaviambia vyombo vya ulinz wakapumzikee...watuachie sie tuwagawane...ni mwendo wa mikwenzii tu mpk akili ziwarudi maana inaonekana kama imepigwa opium
Misukuma gang misengerema sana. Inalialia kwakuwa mungu wao mdogo kapigwa dafrao na mwanamke.....

Ikiandamana tutawaomba JWTZ wapumzike, usafi tutafanya wazalendo.
 
Hongera ndugu, watu kama hao wamekuja wengi kwenye huu Uzi kutisha na kutukana Ila wasilojua ni kwamba tupo hatua ya mwisho ya kuanza maandamano yetu
Kabisa ndugu. Hata Lisu pamoja na yote aliyotendewa na ndugai pale bungeni lakini kampongeza. kasema Ndugai kaongea ukweli ambao hakuna spika aliyeweza kuunena toka tupate Uhuru. Na akasema kitu kinachoweza kujadiliwa ule ukweli kaongelea sehemu sahihi au siyo sahihi. Na akapiga ndugai kuomba msamaha kwa kusema ukweli
 
Muwe na maandamano mema, na virungu viwahusu vizuri ikibidi na viuno mtenguliwe.
Najua umeshashiba sasa Kwa chakula ulichotafutiwa ndio sababu iliyokufanya uwe hivyo na kuongea maneno ya kitoto.
 
Hapo ndipo Ndugai anapoibuka Mshindi. Mimi nimemkubali kwa% zote.
Ukweli ni kwamba, aliyoyasema kuhusu MIKOPO alikuwa sahihi kabisa na wala hakutakiwa hata kuomba msamaha.
Tanzania yenye utajiri wa kila aina haiwezi kujengwa kwa mikopo.
Ndugu,JOB NDUGAI, tembea kifua mbele, kwani wewe ni Mshindi wa vita kama alivyofanya JPM.
 
Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.

Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.

Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Hamna lolote tanganyika mijoga sana kama madem vile
 
Misengerema hii wakati wengine wanadai katiba mpya yenyewe yanashangilia mtu kuitwa gaidi. Sasa imekula kwao inalia kama bata... Sasa kama vipi wajitokeze ili wajue kwanini nguzo ya umeme haizai papai
Hiyo mipasho haitutishi na nafikiri huyo mama ndio kawafundisha hiyo mipasho.
Ila unatakiwa kujua maandamano yetu hatuhitaji mwanasiasa toka chama chochote. Kama hoja ni katiba kubadilishwa tutajadili bila shinikizo kutoka vyama vya siasa
 
Misukuma gang misengerema sana. Inalialia kwakuwa mungu wao mdogo kapigwa dafrao na mwanamke.....

Ikiandamana tutawaomba JWTZ wapumzike, usafi tutafanya wazalendo.
Naungaa mkono kabxaa..lazma tuyanyooshee...kpnd wapnzan wanapiga kelele bungen kuhus katba mpya yalisema tunatumwa na mabeberu...sasa yameangukia pua ndo yanaanza kutafuta huruma kwa wananchi....mimi ahadi yangu nnayowapa ss iv ni makwenz tu ya kwenye komwee hali yazinduke
 
Umeshindwa hata kuweka jina lako ndio utaweza maandamano? Hakuna mtu ataandamana kumuunga mkono mtu muovu.
Jina langu umeshalifahamu, Mambo mengine ya ziadautayajua siku ya maandamano.
Karibu sana
 
Anaehamasisha maandamano familia yake itangulie, sio anakunywa bia tamu huko watoto wa maskini wanatenguliwa migongo kwenye maandamano.
 
Kesho asubuhi tunaenda Central Police kuchukua kibali cha maandamano ya amani, wasipotupa tutatumia njia mbadala Ila maandamano ni lazima yafanyike.
Tumegundua wanasiasa wanapigania vyama vyao, hivyo nasi wananchi tupiganie maslahi yetu
Ndugai ni mpumbavu kama wapumbavu wengine, angekuwa na akili angepigania katiba mpya akiwa kwenye kiti cha uspika ili muhimili aliokuwa akiuongoza(bunge) uwe muhimili 'huru' na usioweza kuingiliwa na mihimili mingine.
Upumbavu wake ndiyo umemponza, tuseme kauli yake ya kuzodoa strategies za SASHA ilikuwa ni kuteleza kwa ulimi swali ni kulikuwa na ulazima gani wa kuomba msamaha then ndiyo ajiuzulu. A very stupid move from a very stupid person, sasa ndiyo nimeamini ya kuwa ana faili Mirembe.
 
Sisi tunaunga mkono tozo na mikopo. Hatujaona tatizo.

Kesho jeshi litakuwa kwenye program yake ya kawaida ya kufanya usafi wa mwezi January kama ishara ya kuukaribisha mwaka mpya
Asante Kwa mawazo yako, inaonesha unapendezewa na maandamano yetu.
Karibu sana.
Wanajeshi Pia wameshaelewa hili jambo Lina maslahi ya wananchi sasa na hata badae Kwa watoto na wajukuu zetu.
Pia jeshi lilishatoa tamko isio rasmi kwamba watatii uongozi uliochaguliwa na wananchi tu na si vinginevyo
 
Hapo ndipo Ndugai anapoibuka Mshindi. Mimi nimemkubali kwa% zote.
Ukweli ni kwamba, aliyoyasema kuhusu MIKOPO alikuwa sahihi kabisa na wala hakutakiwa hata kuomba msamaha.
Tanzania yenye utajiri wa kila aina haiwezi kujengwa kwa mikopo.
Ndugu,JOB NDUGAI, tembea kifua mbele, kwani wewe ni Mshindi wa vita kama alivyofanya JPM.
Kweli wajinga humu ni wengi kwamba bado unaamini kuwa Magufuli hakukopa, ukapimwe si bure kichwani mwako.
 
Wale wa dodoma tutakutana soko la ndugai kuelekea chamwino ikulu itifaki izingatiwe
Asante Kwa taarifa, Ila Dodoma watakutania nje ya ukumbi wa Bunge kuelekea ofisi ya makamu wa Raisi kwa kua Raisi hayupo Dodoma, yupo Kwao Zanzibar
 
Back
Top Bottom