Kinachotakiwa ni kudai uchaguzi uitishwe baada ya mwenda zakeNdio mnavyotisha wananchi na Mambo ya kitoto kama hayo..!!
Kinachotakiwa ni kudai uchaguzi uitishwe baada ya mwenda zakeNdio mnavyotisha wananchi na Mambo ya kitoto kama hayo..!!
Sisi sio wapinzani au chama cha siasa, kuhusu kupigwa tulishajiaandaa na hiyo hali endapo ikitokea Ila haya ni maandamano ya amani, hivyo tunahitaji amani kwenye maandamano yetuKipindi wapinzani wanaambiwa wakiandamana watapigwa mpaka wachakae mlikua mnachekelea.
Sasa ni zamu yenu kupigwa mpaka mchakae.
Andamaneni mkione cha moto [emoji2]
Mungu wetu ni mwaminifu sana, hujibu kila jambo kwa wakati wake [emoji120]
Maandamano yapo ndugu, Kesho utasikia kwenye vyombo vya habariKwa watanzania hawa ambao yeye akishiba na familia yake matatizo ya jirani hayamuhusu[emoji28] sahauni maandamano!
Pia tunakuomba ushirikiano wako kama mtanzania mwenzetuNenda kaandamane tu
Kwanini mnakua waoga hivyo, hiyo itikadi ya uoga mmeitoa wapi?Kajaribu kupeleka mpua wako barabarani kitakacho kupata uje utuhadithie
Alitakiwa kuonyesha msimamo kwa alichokiongea bila kuomba msamaha. Kuomba msamaha ndiyo kosa kubwa zaidi maana inaonyesha alichoongea akina ukweli. Alafu mbaya zaidi unamwomba msamaha mtu asiyejua maana ya msamaha Wala kusamehe. Na asiyesamehe.Hivi alishindwa nini kujiuzulu bila kuomba msamaha?
Watanzania wote, mikoa yote.
Tutaandamana kama wananchi, sio chama cha siasa na hatutaki ushirikiano kutoka chama chochote cha siasa
Watanzania wameshachoshwa na hizi sarakasi za serikali sasa, Kwa taarifa yako hii taarifa imeshasambaa Kwa machinga wote, bodaboda, na wananchi wengi wa kawaida.Tanzania hii nani atapoteza muda kuandamana, mtu aache kuitafutia familia yake chakula mezani aende kuandamana na kupigwa virungu
Mkuu utajikuta mwenyewe huko jangwani na pale pana mafuriko mvua ikija utasombwa na maji utajikuta uko mto wami huko ,kisa nini, ndugai?!
Hoja sio Ndugai, hoja ni kwamba kushikilia msimamo wa kuondoa huo mseto wa hayo matozo, umeme, mikopo n.kShujaa gani anakana alichosema. Tena unalia nimekosa Sana Mimi mnisamehe. Shujaa anapambana mpaka mwisho. Ajifunze kwa kina mbowe ambao wako tayari kufia jela bila kuomba msamaha.
Kwani sheria ya tozo ilipitishwa na nani kwa usimamizi wa nani?Ilikua ni sehemu ya kujitetea Ila Sisi hoja yetu ni kuunga mkono kupinga huo mseto wa tozo na mikopo isiyoeleweka
Kwa taarifa yako hata FFU wamechoshwa na baadhi ya Mambo sababu wanaopata tabu mitaani ni Baba, mama, wajomba, kaka, dada zao n.kWakija FFU wahuni hao wanapaa kama upepo [emoji2][emoji2]
Niandamane kwa ajili ya Ndugai mangapi kayapitisha? baada ya kuona awamu hii imempa kisogo anataka tumuone wa maana upande wangu hapana kaita wangapi wakajiekeza kwenye kamati ya maadili ya bunge kwa kusema ukweli? Mliowakilishwa andamaneni mkifika maeneo yangu nitawapeni maji ya kunywa muendelee na safariNdugai ameshatuwakilisha wananchi, ni mda wetu wananchi kuandamana Kwa kumuunga mkono.
Ndugai ni shujaa
Mkiwa ww na nani?Tutakutania viwanja vya Jangwani jijini Dar, maandamano yatapitia ubalozi wa Ufaransa, Marekani hadi makao makuu ya Umoja wa Ulaya mwisho ni Ikulu ya Dar es salaam.
Ndugai alichomfanyia Tundu lissu acha kabisa huyu jamaa ana roho mbaya sana
Mawazo ya wananchi yalizungumziwa barabarani wakati mjengo upo,Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.
Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.
Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini