Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

Kweli wajinga humu ni wengi kwamba bado unaamini kuwa Magufuli hakukopa, ukapimwe si bure kichwani mwako.
Magufuli alikopa lakini maendeleo tuliyaona Kwa macho na hakukua na hayo matozo au kuongezeka gharama za maisha ikiwemo umeme, gas n.k
 
Hoja yako ni strong sana ila watu akili imefocus kweny personal profile ya Ndugai na sio defition ya kilichotokea kwa Ndugai ambacho ni kiashiria cha ukandamizaj wa uhuru wa maoni , leo kwa Ndugai na hii itakomaa na kuhamia kwa mwingine awe ccm au upinzani ila amini itatokea tena
Una uelewa mkubwa Sana, Aina ya mtu kama wewe ndio mnahitajika kuikomboa hii nchi kwenye hali hii tatanishi ya sasa
 
Big up mkuu God bless you , hakika wewe ni mzalendo na si mshabikia vyama
Tupo pamoja ndugu, nchi yetu hii tukiachia kila kitu wanasiasa hatuwezi fika popote.
Wanasiasa wanapigania maslahi ya vyama vyao na wao Tu.
 
Hiyo ndo hoja ya msingi na si kuangalia past personal profile ya Ndugai haitatusaidia
Ndio nchi hii ni kubwa, inatakiwa Mambo yanayofanyika yawe shirikishi Pia kuzingatia maslahi Kwanza ya wananchi wa hali ya chini.
Ila sasa kila Kona ya nchi ni matatizo ya uchumi Kwa wananchi
 
Magufuli alikopa lakini maendeleo tuliyaona Kwa macho na hakukua na hayo matozo au kuongezeka gharama za maisha ikiwemo umeme, gas n.k
Kakopa 1.3 T tu tangu aingie madarakani tena mkopo usio na riba lakini makelele kibao. Magufuli alikopa matilions kwa Siri alafu akatuambia tunafanya maendeleo kwa fedha zetu. Kosa la Mama Ni kuweka wazi matumizi ya pesa ?
Tatizo mshazoea beautiful lies.

Mama miradi yake imefocus Kwenye maendeleo ya watu si ndio mlikua mnataka au ?

Kupanda kwa bidhaa ni maudhi madogo madogo, sababu tumeambiwa ni kwanini mambo yatakaa sawa tu naamini.
 
Babu zetu wangekuwa na akili km hz sijui km tungepata uhuru wetu
Ok . Nimemjibu jibu hilo sababu siwezi kuji risk kisa kuandamana kwaajili ya Ndugai kwa hoja zake zisizo na mashiko tena alifanya makusudi akijua nn anamaanisha imeshakula kwake.
Sasa mm nikavunjwe miguu wakati huo yeye katulia anakula pesa zake alizochuma kwa raha zake.
 
Hivi alishindwa nini kujiuzulu bila kuomba msamaha?
Angekaza tu na msimamo, ila alipolegea akafungwa goli kirahisi sana. Huyu mama kafanya tuwe nchi ya kutembeza bakuli sana, kwani hao wanaotukopesha huwa wanazitoa wapi mpaka kutupeleka puta kiasi hiki?. Tuko 70 Trilion, bado tumekenua meno tu, eti sitaacha kukopa nonsense.
 
Haya maandamano yanatakiwa yafanyike nchi nzima!!!
Ndio itakavyokua, nimepata taarifa morogoro wataanzia stand ya msamvu kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa.
Nitaendelea kuwajulisha taarifa zaidi kutoka maeneo mbalimbali ya nchi.
Wananchi tukiamua bila wanasiasa tunaweza kuikomboa nchi yetu
 
Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.

Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.

Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini

Attachments

  • VID-20220106-WA0073.mp4
    2 MB
Angekaza tu na msimamo, ila alipolegea akafungwa goli kirahisi sana. Huyu mama kafanya tuwe nchi ya kutembeza bakuli sana, kwani hao wanaotukopesha huwa wanazitoa wapi mpaka kutupeleka puta kiasi hiki?. Tuko 70 Trilion, bado tumekenua meno tu, eti sitaacha kukopa nonsense.
 
Attachments

  • VID-20220106-WA0070.mp4
    3.5 MB
Magufuli alikopa lakini maendeleo tuliyaona Kwa macho na hakukua na hayo matozo au kuongezeka gharama za maisha ikiwemo umeme, gas n.k
Trillion 29 ni nyingi Sana ukilinganisha na miradi iliyojengwa tena mikubwa haijaisha,na Ndiyo sababu hata mama ameamua kukopa ili kumalizia hiyo miradi mikubwa ambayo haijaisha.

Mikopo ya awamu ya tano ilikuwa na riba kubwa 8% hadi 9% na irudishwe katika muda mfupi wa miaka 6. Kumbuka tayari tumekwisha anza kulipa riba ya miradi ambayo hata haijaisha haizalishi. Je hiyo fedha inatoka wapi?
 
Angekaza tu na msimamo, ila alipolegea akafungwa goli kirahisi sana. Huyu mama kafanya tuwe nchi ya kutembeza bakuli sana, kwani hao wanaotukopesha huwa wanazitoa wapi mpaka kutupeleka puta kiasi hiki?. Tuko 70 Trilion, bado tumekenua meno tu, eti sitaacha kukopa nonsense.
Yule mama uwezo wa uongozi ni mdogo Sana, hana sifa na hadhi ya kuongoza nchi kama Tanzania.
Yule mama alitakiwa awe mkuu wa wilaya au katibu tawala wa wilaya ili akaongee vizuri maneno yake ya mipasho
 
Ndugai alishiriki moja kwa moja kuhakikisha Magufuli anatawala nchi hii kwa ukatili na uovu mkubwa. Yeye ni sehemu ya utawala wa kiovu wa Magufuli. Kama ni maandamano Ndugai akae mbele na familia yake kisha tutamuunga mkono.
So kwasabanu ndugai mbaya basi hilo linaidhinisha tozo na mikopo isiyo na kichwa ? au hilo linaidhinisha kuzuia uhuru wa maoni ?
 
Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.

Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.

Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
hakuna wapumbavu wa aina hiyo! Huyo mnafiki asitafute huruma kwa wananchi kwanza anatakiwa ashtakiwe kwa kuingiza mamluki bungeni na kufuja fedha za umma.
 
Back
Top Bottom