Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

Ndio sababu inapendekezwa katiba ibadilishwe ili viongozi wabunge wajue wananchi walio nyuma yao wanaweza kuwawajibisha kwa watakachokifanya Bungeni. Kwa katiba hii, Tume hii, Mapolisi hawa, Usalama wa Taifa unaotungiwa sheria ya kuwalinda kutokana na matendo yao wakiwa kazini basi najua nchi inasukumwa kwa nguvu kwenye shida kubwa.
 
Back
Top Bottom