mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,602
- Thread starter
- #181
Karibu sana ndugu Aspirin, umeonesha ukomavu wa akili.Hakuna shida. Tutaona panapovuja mvua ikinyesha
Nikuhakikishie kwamba kila kitu kinaenda sawa
Karibu sana ndugu Aspirin, umeonesha ukomavu wa akili.Hakuna shida. Tutaona panapovuja mvua ikinyesha
Hoja yako ni strong sana ila watu akili imefocus kweny personal profile ya Ndugai na sio defition ya kilichotokea kwa Ndugai ambacho ni kiashiria cha ukandamizaj wa uhuru wa maoni , leo kwa Ndugai na hii itakomaa na kuhamia kwa mwingine awe ccm au upinzani ila amini itatokea tenaKesho asubuhi tunaenda Central Police kuchukua kibali cha maandamano ya amani, wasipotupa tutatumia njia mbadala Ila maandamano ni lazima yafanyike.
Tumegundua wanasiasa wanapigania vyama vyao, hivyo nasi wananchi tupiganie maslahi yetu
Asante Kwa mawazo yako, Ila hao uliowataja sio hoja za maandamano.Ndugai, Majaliwa, Bashiru, Polepole, Kalemani nk wakae mbele na familia zao kwenye hayo maandamano tuwaone.
Unaandika hoja za kitoto sanaHahahaha!yakitoka barabaran tutaviambia vyombo vya ulinz wakapumzikee...watuachie sie tuwagawane...ni mwendo wa mikwenzii tu mpk akili ziwarudi maana inaonekana kama imepigwa opium
Unachanganya Sana mafaili ndugu.Misukuma gang misengerema sana. Inalialia kwakuwa mungu wao mdogo kapigwa dafrao na mwanamke.....
Ikiandamana tutawaomba JWTZ wapumzike, usafi tutafanya wazalendo.
Asante Kwa mawazo yako yenye kujenga na busara ya hali ya juuKabisa ndugu. Hata Lisu pamoja na yote aliyotendewa na ndugai pale bungeni lakini kampongeza. kasema Ndugai kaongea ukweli ambao hakuna spika aliyeweza kuunena toka tupate Uhuru. Na akasema kitu kinachoweza kujadiliwa ule ukweli kaongelea sehemu sahihi au siyo sahihi. Na akapiga ndugai kuomba msamaha kwa kusema ukweli
Big up mkuu God bless you , hakika wewe ni mzalendo na si mshabikia vyamaAsante Sana Wana Iringa, Dar es salaam tutakutania viwanja vya Jangwani.
Nimepata Pia taarifa kutoka Arusha watakutania nje ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Mbeya wameniambia watakutania viwanja vya airport ya zamani, songea karibu na uwanja wa Majimaji.
Hivi nasubiri mikoa mingine ili nitoe taarifa rasmi
Haujui unaloongea sababu umekariri matukio.Aah!najua bdo unapendwa kwenu...kaa utulie na familia yako tu ndo ponapona yalo
Hiyo ndo hoja ya msingi na si kuangalia past personal profile ya Ndugai haitatusaidiaHuyo mama uwezo wa uongozi ni mdogo Sana, hili jambo la Ndugai wananchi tukikalia kimya itasababisha hata watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi watashindwa kuongea.
Siwezi andamaa kwamambo yakijinga wew andamana na familia yako kwani kinga alizonazo zinasemajeNiseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.
Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.
Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Tunahitaji watu wengine wenye uwezo wa kutoa kauli kama Ile ya Ndugai kuhusu mikopo na hayo matozoHapo ndipo Ndugai anapoibuka Mshindi. Mimi nimemkubali kwa% zote.
Ukweli ni kwamba, aliyoyasema kuhusu MIKOPO alikuwa sahihi kabisa na wala hakutakiwa hata kuomba msamaha.
Tanzania yenye utajiri wa kila aina haiwezi kujengwa kwa mikopo.
Ndugu,JOB NDUGAI, tembea kifua mbele, kwani wewe ni Mshindi wa vita kama alivyofanya JPM.
Big up mkuu napenda harakati zako , ccm imebakiza washabiki na si wana harakati km enzi za NyerereAsante Kwa ushirikiano wako, Pia nimepata taarifa sasa kwamba Dodoma watakutania karibu na viwanja vya Bunge kuelekea ofisi ya makamu wa Raisi.
Asanteni sana
Wewe sio wa Kwanza kuandika hivyo sababu ya kukariri maisha na matukioHamna lolote tanganyika mijoga sana kama madem vile
Babu zako wangekuwa na akili km hizo tungekuwa kweny ukoloni badoKuna mabomu yanatumika kutoa Moshi tu
Imagine mtu anatuambia hatutagongewa hodi?!Ndugu hili Jambo sio dogo, Ila watanzania bado hatujatambua thamani ya nchi yeti ndio maana wanasiasa wanatuchezea wanavyotaka
Unaeza kuta ni lizee limeandika hv , yaa halina uzalendo na nchi limeweka visasi mbeleKipindi wapinzani wanaambiwa wakiandamana watapigwa mpaka wachakae mlikua mnachekelea.
Sasa ni zamu yenu kupigwa mpaka mchakae.
Andamaneni mkione cha moto [emoji2]
Mungu wetu ni mwaminifu sana, hujibu kila jambo kwa wakati wake [emoji120]
Usiwe na Shaka kuhusu Hilo, hadi sasa naandika nikiwa eneo la tukio na kamati ya ufundiAnaehamasisha maandamano familia yake itangulie, sio anakunywa bia tamu huko watoto wa maskini wanatenguliwa migongo kwenye maandamano.
Mbona km jamaa kakugusa vileUkiwemo na wewe.
Una akil fupiNenda kaandamane tu
Babu zetu wangekuwa na akili km hz sijui km tungepata uhuru wetuKajaribu kupeleka mpua wako barabarani kitakacho kupata uje utuhadithie