mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,602
- Thread starter
- #121
Nafikiri Pia tuweke haya maneno kwenye moja ya mabango keshoBei za vitu hazishikiki na pesa hakuna
Nafikiri Pia tuweke haya maneno kwenye moja ya mabango keshoBei za vitu hazishikiki na pesa hakuna
Asante Kwa mtazamo wako, Ila unatakiwa kujua maandamano yapo pale pale hata mkitukanaKuna mashetani wa kibanaadam na wa kijini.wewe ni wa kibinaadam.Kaandamane na Bibi yako kijijini.
Ugulia maumivu yako kimyakimya Acha kuendelea kuonesha ujinga wako kwa kiwango cha kutosha.Ni mjinga na mbumbumbu tu anayeweza kufurahia kujiuzulu kwa Ndugai.This is a signal kwamba Samia kashindwa kuendesha nchi.Yajayo yanafurahisha.
Hongera ndugu, watu kama hao wamekuja wengi kwenye huu Uzi kutisha na kutukana Ila wasilojua ni kwamba tupo hatua ya mwisho ya kuanza maandamano yetuAcha unafiki.kwanini akumsema ndugai kabla hajaongelea mikopo na tozo?. Mama mnafiki na Hana moyo kwa kusamehe.
Unamwamini??? Huyu?? SIkuona sehemu iliyotengenezwa. Alitaka kupiga gia ya reverse, bila kukubali ama ulimi wake uliteleza au hakuwa na moyo kusimama wima..... Tatizo lake la pili ilikuwa kuomba radhi kwa uwongoAlisema clip ilitengenezwa
Hatua ya mwisho ni kupokea kibaliHatua ya mwisho ni ipi?
Huo ni mtazamo wakoWewe hata alichosema Job hukukielewa
Lete hoja wewe mwenye akilihuna akili.
Upo kwenye hatua ya kupokea kibali ambacho hujakipokea siyo?Hatua ya mwisho ni kupokea kibali
Tutatengua tu viunoo hivyooWengine tunatokea Dar kwa. Miguu kuja Idodomya.
Sukuma gang wanawashwaWatanzania gani hao wa kuandamana [emoji1787] labda ujisemee mwenyewe mkuu
Maandamano yanaanzia viwanja vya Jangwani Kwa Dar es salaam.Weka huna lako halisi kisha useme maandamano mtaanzia wapi.
Ndugai ni shetwani Bora amejiuzuruNiseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.
Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.
Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Lazima niue Akwilina sita za Sukuma gang. Kama hawanijui Mahita kiboko wa makomandoo, wasogeze makalio yao barabaraniTutatengua tu viunoo hivyoo
Asante Kwa mawazo yako, Ila naomba Kwa saaa tujadili kuhusu maandamanoKama kuna watanzania wanasema JPM ni Raisi wa ovyo zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania nasubiri shuyu nae amalize yake
Aahahahah kudadadek labda kama mmekodi watu toka sehem zingineMaandamano yapo ndugu, Kesho utasikia kwenye vyombo vya habari
Sisi sio sukuma gang, halafu hatuhitaji huo upotoshaji.Lazima niue Akwilina sita za Sukuma gang. Kama hawanijui Mahita kiboko wa makomandoo, wasogeze makalio yao barabarani
Ulivyo muoga huthubutu kusogea maeneo hayo. Kama unajiamini sogea hapo afu unyooshe kidole juu nikuone. Hakikisha unaandika urithi/wosia kabla hujatoka nyumbaniMaandamano yanaanzia viwanja vya Jangwani Kwa Dar es salaam.
Upo mkoa gani nikupe maelekezo yanapoanzia maandamano?