Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

1. Alipofanya uduwanzi wa kutubu dhambi hadharani, huku akidai hakuitenda hiyo dhambi, mimi kama mkatoliki siwezi kumuunga mkono.
2. Angebaki na hoja yake kisha akajiuzulu, ningemwona mwamba.
3. Je atakuwa front line, au tayari yupo mapangoni anakokujua? Kumbuka alisaliti harakati.
Usife moyo ndugu, Kesho hoja sio Ndugai Bali ni kupinga sarakasi za serikali kuhusu mseto wa tozo na mikopo isiyoeleweka vinavyomuongezea mzigo wa maisha magumu
 
Muwe na maandamano mema, na virungu viwahusu vizuri ikibidi na viuno mtenguliwe.
 
Hahaha!mkuu punguza hasiraa..sema hawa watu wanakera sanaaa
Misengerema hii wakati wengine wanadai katiba mpya yenyewe yanashangilia mtu kuitwa gaidi. Sasa imekula kwao inalia kama bata... Sasa kama vipi wajitokeze ili wajue kwanini nguzo ya umeme haizai papai
 
Ulivyo muoga huthubutu kusogea maeneo hayo. Kama unajiamini sogea hapo afu unyooshe kidole juu nikuone. Hakikisha unaandika urithi/wosia kabla hujatoka nyumbani
Nasikitika kusikia hivyo sababu hujui kinachoendelea hadi sasa kuhusu maandalizi ya maandamano.
Sina la kukuambia zaidi Ila subiria utasikia kwenye vyombo vya habari
 
Maandamano yanaanzia viwanja vya Jangwani Kwa Dar es salaam.
Upo mkoa gani nikupe maelekezo yanapoanzia maandamano?

Umeshindwa hata kuweka jina lako ndio utaweza maandamano? Hakuna mtu ataandamana kumuunga mkono mtu muovu.
 
Usife moyo ndugu, Kesho hoja sio Ndugai Bali ni kupinga sarakasi za serikali kuhusu mseto wa tozo na mikopo isiyoeleweka vinavyomuongezea mzigo wa maisha magumu
Sisi tunaunga mkono tozo na mikopo. Hatujaona tatizo.

Kesho jeshi litakuwa kwenye program yake ya kawaida ya kufanya usafi wa mwezi January kama ishara ya kuukaribisha mwaka mpya
 
Ndugai ni hopeless kabisa alikuwa anajua kinachoweza kifuatia, ndio maana akaleta pigo za kushambuliwa kisa mgogo, hapo mpaka mda huu wagogo wote hawatampenda mama...ngoja tuone na wasukuma nao wanafuatia usidhani Gwaji alikuwa hajui kuwa jamaa kashaweka barua mezani

Watakaotoswa nao wataanzisha ya ukabila "sukuma gang", mara watu wa kusini n.k hii miaka mitatu itakuwa interesting kwa kweli, huku mama kaachiwa zigo la misumari (mbowe) ukaskazini - wachaga.

I can foresee tribalism kwenye siasa zinazokuja

Hii miaka minne iliyobaki inaweza kumsababishia magonjwa ambayo hakuwahi kuwa nayo.

Kwa hali ilivyo, it’s possible to win a battle (or a few battles) but lose the war!
 
Kumuunga mkono kwa kitu gani?

Hizo tozo alikuwa na uwezo wa kuzikataa kabla ya kupitishwa hapo bungeni badala yake waliishia kugonga meza?

Tozo zilianzishwa huku hakuna regulation nzuri ya zitakua zinakuwa regulated vipi hizo ni pesa za wananchi ilipaswa kila mwezi zitoleww report sasa kina ndugai walikuwa wapi kuhoji hivyo?

Hakuna wa kumuonea huruma avune alichopanda ikiwemo ujinga wa kussport ule ujinga wa October 28 ,2020 hatutasahau ujinga ule kamwe na wataulipia tu .
 
Nasikitika kusikia hivyo sababu hujui kinachoendelea hadi sasa kuhusu maandalizi ya maandamano.
Sina la kukuambia zaidi Ila subiria utasikia kwenye vyombo vya habari
Hakuna shida. Tutaona panapovuja mvua ikinyesha
 
Sasa Ndugai alisema mikopo isichukuliwe ila tozo ziongezwe (equivalent na mikopo inayotaka kuchukuliwa), hivyo ndivyo wananchi walivyomtuma Ndugai sio?
Kesho kuna hoja nyingi zaidi, karibu kwenye maandamano hayo maswali yako yote yatajibiwa vizuri.
Wanasiasa wameshindwa kututetea , hivyo tumeamua kujitetea wenyewe Kwa maandamano ya amani
 
Nasikitika kusikia hivyo sababu hujui kinachoendelea hadi sasa kuhusu maandalizi ya maandamano.
Sina la kukuambia zaidi Ila subiria utasikia kwenye vyombo vya habari

Ndugai, Majaliwa, Bashiru, Polepole, Kalemani nk wakae mbele na familia zao kwenye hayo maandamano tuwaone.
 
Back
Top Bottom