Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

Trillion 29 ni nyingi Sana ukilinganisha na miradi iliyojengwa tena mikubwa haijaisha,na Ndiyo sababu hata mama ameamua kukopa ili kumalizia hiyo miradi mikubwa ambayo haijaisha.

Mikopo ya awamu ya tano ilikuwa na riba kubwa 8% hadi 9% na irudishwe katika muda mfupi wa miaka 6. Kumbuka tayari tumekwisha anza kulipa riba ya miradi ambayo hata haijaisha haizalishi. Je hiyo fedha inatokea wapi?

Mkopo a
Hizo takwimu za uongo umetoa wapi?
 
Leo hii nanyi mmekuwa wa kulilia maandamo na yamekuwa halali duu ama kweli ninyi wanafiki pindi wapinzani wanaandamana si mlisema wanavunja amani ninyi je? Ama kweli mpigwe tu mpaka mchakae.
unazani wote wanamuunga mkono Ndugai ni ccm ? kwa Chadema wny utimamu basi lazima waelewe hii inshu ya Ndugai imebeba dhana ya ukandamizaj wa uhuru wa maoni pia tozo zisizo na maana pia mikopo itakayokuja kuwa mzigo kwa our next generation , tukiweka visasi mbele tutalikuza hili ttzo maana hata wenye maoni kinyume na serikali hatoweza kujieleza , so tupinge huu ukandamizaji wa uhuru wa maoni pasipo kujali nan muhanga
 
TUOMBE MUNGU KWA KUFANYA MAKONGAMANO YA IBADA ILI ATUPE UJASIRI WA KUANDAMANA ILI KUDAI KATIBA MPYA NA NDANI YA KATIBA HIYO TUPATE TUME HURU YA UCHAGUZI.NA SIKU HIYO YA KUPATA UJASIRI NAIONA INAKUJA TOKEA MBALI TARATIBU WALA MSIWE NA HARAKA WATANZANIA.
 
Bado una akili mgando Sana.
Hapa hamna Mambo ya vyama vya siasa wala wanasiasa.
Maslahi ya wananchi kwanza
Ndugai alipowafuga wale COVID 19 bungeni kwa hisani ya CCM ulitangaza mbiu ya kuandamana?
Uchafuzi mkuu na ule uchafuzi wa serikali za mitaa ulipoingiliwa kinyume na maumbile kwa hisani ya Magufuli ulitangaza mbiu ya kuandamana?
 
Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.

Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.

Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Haina shida maana amejitakia mwenyewe. Akishirikiana na JPM walihakikisha hakuna mpinzani atakayerudi bungeni. Matokeo yake amejikuta mwenyewe kawa mpinzani. Karma is a bitch
 
Angekaza tu na msimamo, ila alipolegea akafungwa goli kirahisi sana. Huyu mama kafanya tuwe nchi ya kutembeza bakuli sana, kwani hao wanaotukopesha huwa wanazitoa wapi mpaka kutupeleka puta kiasi hiki?. Tuko 70 Trilion, bado tumekenua meno tu, eti sitaacha kukopa nonsense.
Kwahiyo Mama samia ndio rais wa kwanza kukopa ? Wanafakii nyie
Kosa lake Ni kuweka wazi kuwa amekopa pesa na zitafanyiwa nini ? Tena mkopo hauna riba na ndio mkopo mzuri kuliko yote iliyowahi kukopwa.
Nyie wanyonge Mshazoea uongo mtamu eeh

Yes trillion 70 ,ila deni Ni stahimilivu na tunasifa za kukopesheka kwahiyo hapa Ni mwendo wa kukopa tu Kila inapobidi ili mradi tuna mikakati

Kuhusu kutembeza bakuli ,Ni bora mtembeza bakuli yuko real, Sasa mtangulizi wake anatuambia tunajenga kwa pesa zetu kumbe anachukua mikopo ya kibiashara kimya kimya tena taarifa zinasema yeye ndio kavunja records kwa mikopo.
Kipindi cha magu mkaufyata sijui mlikua mmefunikwa Kwenye chungu wanafiki nyie mnakuja kumtolea povuu mama ,mshindwe na mlegee
 
1. Alipofanya uduwanzi wa kutubu dhambi hadharani, huku akidai hakuitenda hiyo dhambi, mimi kama mkatoliki siwezi kumuunga mkono.
2. Angebaki na hoja yake kisha akajiuzulu, ningemwona mwamba.
3. Je atakuwa front line, au tayari yupo mapangoni anakokujua? Kumbuka alisaliti harakati.
Mkuu hizo hoja zako ndizo ninazozisubiri.
Ndugai kazingua, asingeomba msamaha.
Asipoangalia watamnyang'anya kadi ya ccm.
Huyu alitakiwa ajiuzuru na msimamo historia ingemkumbuka.
Boya sana huyu.
 
Hizo takwimu za uongo umetoa wapi?
Kwahiyo Mama samia ndio rais wa kwanza kukopa ? Wanafakii nyie
Kosa lake Ni kuweka wazi kuwa amekopa pesa na zitafanyiwa nini ? Tena mkopo hauna riba na ndio mkopo mzuri kuliko yote iliyowahi kukopwa.
Nyie wanyonge Mshazoea uongo mtamu eeh

Yes trillion 70 ,ila deni Ni stahimilivu na tunasifa za kukopesheka kwahiyo hapa Ni mwendo wa kukopa tu Kila inapobidi ili mradi tuna mikakati

Kuhusu kutembeza bakuli ,Ni bora mtembeza bakuli yuko real, Sasa mtangulizi wake anatuambia tunajenga kwa pesa zetu kumbe anachukua mikopo ya kibiashara kimya kimya tena taarifa zinasema yeye ndio kavunja records kwa mikopo.
Kipindi cha magu mkaufyata sijui mlikua mmefunikwa Kwenye chungu wanafiki nyie mnakuja kumtolea povuu mama ,mshindwe na mlegee
 

Attachments

  • VID-20210906-WA0042.mp4
    3 MB
unazani wote wanamuunga mkono Ndugai ni ccm ? kwa Chadema wny utimamu basi lazima waelewe hii inshu ya Ndugai imebeba dhana ya ukandamizaj wa uhuru wa maoni pia tozo zisizo na maana pia mikopo itakayokuja kuwa mzigo kwa our next generation , tukiweka visasi mbele tutalikuza hili ttzo maana hata wenye maoni kinyume na serikali hatoweza kujieleza , so tupinge huu ukandamizaji wa uhuru wa maoni pasipo kujali nan muhanga
Wewe mi sio chadema lakini nikuhakikishie kuwa wapinzani wote wamefurahi ndugai kukutana na unyama alio uasisi, wote Wanakubaliana kuwa alikuwa na hoja ila kwa kuwa hoja imebebwa na aliyeshiriki kuumiza watetezi wa haki hiyohiyo basi bora aondoke kwanza hoja itabebwa na wengine bila kujali chama.


Huyu alikuwa bedui hasa wa demokrasia. Kwani tumesahau alichowafanya juzi tu akina J Slaa, Gwajima, Lissu ndo kabisa hadi alitamani afe kabisa.
 
Yaani tuandamane kisa ndugai kujiuzulu, ndio kitu tulikuwa tunataka kitokee hakufit kiti chake, mambo ya hovyo mengi ameyapitisha. Covid-19 aliwalinda kwa kiti cha spika, sasa saizi sijui nani atawalinda sasa, Ishu ya Lissu alivyoipeleka peleka. Mi nimefurahi tuu sababu pia sijawahi kufurahia uongozaji wake wa bunge labda tuu kwenye ushabiki wa Simba [emoji881] ndio nilikuwa naye ila huko kwingine binafsi niliona alikuwa anapwaya sana.
Kwenye Biblia kuna mstari unasema wamenichimbia shimo na watumbukia wenyewe, sasa shimo alilolichimba ndugai katumbukia mwenyewe apambane na hali yake tuu
 
So kwasabanu ndugai mbaya basi hilo linaidhinisha tozo na mikopo isiyo na kichwa ? au hilo linaidhinisha kuzuia uhuru wa maoni ?
Mkopo upi usio na kichwa Wala miguu kwa Awamu hii ? Maana hapa tunamzungumzia Ndugai akimshambulia mama

Mwenye miradi yake alieanzisha alikopa mapesa ndio akajenga, alafu mnataka mama asikope kwa pesa gani tulizokuwa nazo ?

Hivi aliezuiwa kutoa maoni Ni nani ? Hakuna aliezuiwa kutoa maoni. Ndugai kilichomponza akajikuta karopoka yasioeleweka Ni homa ya 2025
 
unazani wote wanamuunga mkono Ndugai ni ccm ? kwa Chadema wny utimamu basi lazima waelewe hii inshu ya Ndugai imebeba dhana ya ukandamizaj wa uhuru wa maoni pia tozo zisizo na maana pia mikopo itakayokuja kuwa mzigo kwa our next generation , tukiweka visasi mbele tutalikuza hili ttzo maana hata wenye maoni kinyume na serikali hatoweza kujieleza , so tupinge huu ukandamizaji wa uhuru wa maoni pasipo kujali nan muhanga
Kwani hayo ya ukandamizaji wa uhuru wa maoni imeanza leo? Tena saizi si ni afadhali kuliko awamu iliyopita, na kuhusu tozo si waliiundia hukohuko bungeni na wakaipitisha yeye akiwa kiongozi au napo alisinzia kama alivyosemaga wakati ule? Haandamani mtu hapa hakuna cha kusema chadema wenye utimamu wala nini. Kila mtu apambane na hali yake tuu.
 
Mkopo upi usio na kichwa Wala miguu kwa Awamu hii ? Maana hapa tunamzungumzia Ndugai akimshambulia mama

Mwenye miradi yake alieanzisha alikopa mapesa ndio akajenga, alafu mnataka mama asikope kwa pesa gani tulizokuwa nazo ?

Hivi aliezuiwa kutoa maoni Ni nani ? Hakuna aliezuiwa kutoa maoni. Ndugai kilichomponza akajikuta karopoka yasioeleweka Ni homa ya 2025
Naona wafuasi wake wanakuja kutaka huruma huku wakati awamu iliyopita walikuwa wanajimwambafai wanavyotaka. Saizi wanalialia tuu
 
unazani wote wanamuunga mkono Ndugai ni ccm ? kwa Chadema wny utimamu basi lazima waelewe hii inshu ya Ndugai imebeba dhana ya ukandamizaj wa uhuru wa maoni pia tozo zisizo na maana pia mikopo itakayokuja kuwa mzigo kwa our next generation , tukiweka visasi mbele tutalikuza hili ttzo maana hata wenye maoni kinyume na serikali hatoweza kujieleza , so tupinge huu ukandamizaji wa uhuru wa maoni pasipo kujali nan muhanga
Hivi wewe unazungumzia uhuru gani wa maoni ? Awamu hii mbona Ni full kujiachia matusi tu ndio mwiko
 
Back
Top Bottom