Ndugai ni hopeless kabisa alikuwa anajua kinachoweza kifuatia, ndio maana akaleta pigo za kushambuliwa kisa mgogo, hapo mpaka mda huu wagogo wote hawatampenda mama...ngoja tuone na wasukuma nao wanafuatia usidhani Gwaji alikuwa hajui kuwa jamaa kashaweka barua mezani
Watakaotoswa nao wataanzisha ya ukabila "sukuma gang", mara watu wa kusini n.k hii miaka mitatu itakuwa interesting kwa kweli, huku mama kaachiwa zigo la misumari (mbowe) ukaskazini - wachaga.
I can foresee tribalism kwenye siasa zinazokuja