MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,543
- 39,176
Hii itakua ni sababu ya kipumbavu zaidi ya kumfanya mtu aandamane. Huyo mtu hakupaswa ata kuwa mbunge. Ni aibu kwa taifa.
Watanzania ?? Au !! ??Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.
Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.
Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Wala wasiandame ,mwenyewe akifanya hivyo kwa manufaa binafsi.pili ni lini ndugai ameanza kujali taifaNiseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.
Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.
Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Kesho asubuhi tunaenda Central Police kuchukua kibali cha maandamano ya amani, wasipotupa tutatumia njia mbadala Ila maandamano ni lazima yafanyike.Serikali iunge mkono uhuru huo utendeke. Watu wapo na watakuwepo
Huyu Mama mwanzoni alinipa matumaini kidogo ila kuna mambo yameanza kunipa wasiwasi.Mfumuko wa bei uko juu, gharama za umeme ndio kama tulivyosikia. Kuhusu demokrasia bado anga halijatulia.Ndugai ni hopeless kabisa alikuwa anajua kinachoweza kifuatia, ndio maana akaleta pigo za kushambuliwa kisa mgogo, hapo mpaka mda huu wagogo wote hawatampenda mama...ngoja tuone na wasukuma nao wanafuatia usidhani Gwaji alikuwa hajui kuwa jamaa kashaweka barua mezani
Watakaotoswa nao wataanzisha ya ukabila "sukuma gang", mara watu wa kusini n.k hii miaka mitatu itakuwa interesting kwa kweli, huku mama kaachiwa zigo la misumari (mbowe) ukaskazini - wachaga.
I can foresee tribalism kwenye siasa zinazokuja
Watanzania wote, mikoa yote.Watanzania gani hao wa kuandamana [emoji1787] labda ujisemee mwenyewe mkuu
Ndio maagizo mliyopewa na mabwana zenu kudhihaki watu?andamana peke yako.punguan wahed.
Huyo mama uwezo wa uongozi ni mdogo ndio maana haya Mambo yanatokea sasaNdugai ni hopeless kabisa alikuwa anajua kinachoweza kifuatia, ndio maana akaleta pigo za kushambuliwa kisa mgogo, hapo mpaka mda huu wagogo wote hawatampenda mama...ngoja tuone na wasukuma nao wanafuatia usidhani Gwaji alikuwa hajui kuwa jamaa kashaweka barua mezani
Watakaotoswa nao wataanzisha ya ukabila "sukuma gang", mara watu wa kusini n.k hii miaka mitatu itakuwa interesting kwa kweli, huku mama kaachiwa zigo la misumari (mbowe) ukaskazini - wachaga.
I can foresee tribalism kwenye siasa zinazokuja
Uko sahihi ndugu, Ila pamoja mapungufu ya Ndugai Kwa hili Jambo ni vyema Sisi Kama wananchi tukamuunga mkono hoja yake kuhusu tozo na hiyo mikopoMlipokuwa mkiambiwa hakuna mihimili 3 hapa!!mnawatukana !!kudai katiba mpya hivyo hivyo, acha yawakute, tena huyo NDUGAI, ndio alikuwa kikwazo kikubwa, hayo matatizo hayajaanza leo, acha tu, yeye hao watu wenye mawazo mbadala mbona ndiye alikuwa mtesi mkubwa?
Tafadhali tuweke chuki za kisiasa pembeni kwenye hili jamboHii itakua ni sababu ya kipumbavu zaidi ya kumfanya mtu aandamane. Huyo mtu hakupaswa ata kuwa mbunge. Ni aibu kwa taifa.
Mikusanyiko ya mipasho anayofanya huyo mama ndio imeruhusiwa?Mikusanyiko marufuku Kwa sababu za Corona...
Ndio watanzania ndugu, tunapaswa kubadilika na kujua thamani ya nchi yetu.Watanzania ?? Au !! ??
Nguvu hizo bora ziwekwe kwenye katiba mpya, kwani hayo yatakomeshwa humo kwenye katiba mpya.Uko sahihi ndugu, Ila pamoja mapungufu ya Ndugai Kwa hili Jambo ni vyema Sisi Kama wananchi tukamuunga mkono hoja yake kuhusu tozo na hiyo mikopo
Na MirembeKONGWA!
Hoja ni maslahi ya nchi sio NdugaiWala wasiandame ,mwenyewe akifanya hivyo kwa manufaa binafsi.pili ni lini ndugai ameanza kujali taifa