Samahani wakuu....hivi katika hao waandishi' je kuna mwandishi yeyote aliyekuja hapo kutokea CLOUDS MEDIA?
Kama hii kampuni inafananishwa na Radio/Tv za serikali basi wamiliki wake wana matatizo makubwa huko mbeleni!
Samahani wakuu....hivi katika hao waandishi' je kuna mwandishi yeyote aliyekuja hapo kutokea CLOUDS MEDIA?
bora alivyokufa huyuu mwandishi sababu waandishi hawa hukiuka maadili ya kazi zao matatizo yanapotokea zanzibar hupigwa watu na kujeruhiwa wWAO HAWA NDIO HUANDIKA BOKO HARAMU UAMSHO ALSHABABI MAGAIDI kifo chake huyu kimetokana na uwongo wanao uandika kama wangelifanya kazi kimaadili basi tanganika zanzibar na tanzania muungano kungelikuwa na ukuwaji wa demokrasia kura ngapi majimboni zinaibiwa waandishi hawaandiki kitu kwani hawajuwi bali wanaogopa chama tawa la sasa chama kinawali nyinyiUbishi gani tena...?
kweli hili la mwangosi linaweza leta mapinduzi! viva forever!!!!!!!! ile Taswira ya mwangosi kufa huku kashika kamera yake mkono wa kulia, na ile taswira ya mtoto wa daudi mwangosi kulia kwa uchungu wakati akisalimiana na watu mbalimbali na ile taswira ya mke wa marehemu kulala juu ya kaburi la mumewe! hazitapita bure!!! hilo nina uhakika nalo!
Dr. Nchimbi anadhani anapendwa, hii ni jeuri na dharau kubwa kuvamia maandamano bila mwaliko. Kweli PhD za Mzumbe siku hizi ni?waziri nchimbi kakataliwa na wandishi wa habari leo jangwani na kuondoka
mbwa we, mwanaizaya mkubwa, m....... bahati yako naogopa bani,**** webora alivyokufa huyuu mwandishi sababu waandishi hawa hukiuka maadili ya kazi zao matatizo yanapotokea zanzibar hupigwa watu na kujeruhiwa wWAO HAWA NDIO HUANDIKA BOKO HARAMU UAMSHO ALSHABABI MAGAIDI kifo chake huyu kimetokana na uwongo wanao uandika kama wangelifanya kazi kimaadili basi tanganika zanzibar na tanzania muungano kungelikuwa na ukuwaji wa demokrasia kura ngapi majimboni zinaibiwa waandishi hawaandiki kitu kwani hawajuwi bali wanaogopa chama tawa la sasa chama kinawali nyinyi
mwangalie huyo RPC kitambi kama kameza mahotpot, hakika machungu na machozi ya watu hawa hayatapotea bure
Omeja unyana ng'winuyu ilintwe lyakwe guti obuchaja igunila lya NJEMU
Dr. Nchimbi anadhani anapendwa, hii ni jeuri na dharau kubwa kuvamia maandamano bila mwaliko. Kweli PhD za Mzumbe siku hizi ni?
halafu wewe sio sweety kwa haki ni sweety ufisadi ila kwetu wanyonge u test biterHongereni sana ila angalieni jamaa wapo mbele wanawasubiria. Mtakula kichapo hadi mkome ubishi.
mwangalie huyo RPC kitambi kama kameza mahotpot, hakika machungu na machozi ya watu hawa hayatapotea bure
Nchimbi bureeeeeeeeee kabisa waziri unazamia msosi ambao hujaalikwa hawa ndio mawaziri wa serikali YA CCM, huwezi kuwatambua wakati gani wanafanya kazi za chama wakati gani wanafanya kazi za serikali/AU WAKATI GANI WAKO SERIOUS??HUYU JAMAA NI MAFIAA WAANDISHI KAENI NAE CHONJO SANA ANATEKELEZA AMRI YA ALIYEMWEKA NDIO MAANA ANAKATAA KUJIUZLU KWA KEJELI KUWA HATUWEZI PATA WAZIRI KAMA YEYE BORA ANGESEMA DR.HARRISON MWAKYEMBE NA DR.MAGUFULI HUYU MIMI KWANZA SIWEZI KUMWITA DR.NTAKUWA MWEHU, upumbavu mtupu,yaani wanakera hawa jamaa mpaka kinyaaa!!!!!!!!!!!!!!
(KUTOKA FACEBOOK MDAU MMOJA ANASEMA)
Nawapongeza sana WAANDISHI WA HABARI KWA KUMTIMUA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI EMMANUEL NCHIMBI NAWAPONGEZA SANA kwa kuonyesha hisia zenu kwa kitendo kiovu kabisa ambacho kimefanywa NA POLISI wetu DHIDI YA MWANDISHI WA HABARI DAUDI MWANGOSI ,lakini nataka niwaambie EMANUEL NCHIMBI WAZIRI WA MAMBO YA NDANI,kuvamia maandamano yenu YA WANAHABARI NA KUTAKA KUHUTUBIA bila kualikwa sio bahati mbaya anajua mtaandika zaaaidi k
uhusiana na YEYE kutimuliwa kwake na kuacha kuandika maaovu na ujumbe mliokusudia,Haingii akilini kwa mtu mwenye ngazi ya WAZIRI KUVAMIA KWA MFANO SHEREHE AMBAYO HANA KADI YA MWALIKO??KWA HIYO HAWA JAMAA INABIDI MUENDELEE KUWAKOMALIA TU HIVIHIVI!!!!!!!!!!!!!!!HAWA NDIO MAWAZIRI WA TANZANIA HUWEZI KUJUA WAKATI GANI YUKO SERIOUS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!VIVA SAIZI HAKUNA KUWABEBA HAWA MABWEGE MMEWABEBA SANA WAMEISHIA KUWAUA MKIWACHEKEA WATAWAMALIZA HAO SAIZI WAMEKUWA WAZEE WA VITU VIZITO/FLYING OBJECTS,TAZAMA BILA PICHA KUWAAUMBUA WALISHAANZA KUSEMA BOMU WALIKUWA NALO WAANDISHI WA HABARI,UJINGA MTUPU!!!!!!!