Maandamano ya wanahabari Sept 11, 2012

Maandamano ya wanahabari Sept 11, 2012

waoooo wandishi wa habari mmenifurahisha sana, bila hivyo wataendelea kuuwa tu bora muonyeshe msimamo km hivi na wanavyojuwa umuhimu wenu na amini kabisa sasa watakaa chini na kutafakari kwa kina, na mtaheshimika
 
Yaani huu usani wa JK na serikali yake mie basi tena, bila shaka ni maigizo ya ghali sana duniani. All the resources only for drama and free-riding
 
Kwa mujibu wa Clouds FM jana ni kuwa waandishi wa habari wamezuiwa kuhitimisha maandamano yao viwanja vya Mnazi Mmoja kwa kuwa Halmashauri ya Ilala watakuwa wanafanya shughuli zao hapo!

Hii ndiyo Bongo bwana kuhakikisha kuwa maandamano haya yanadhoofishwa!
walisema wataenda hapo au nao ni wavamizi wa eneo
 
police na na waandishi wa habari tanzania ni kitu kimoja policcm wauwa wandishi wanaficha mauwaji yanayofanywa ovyo na policcm

police wameuwa muembe chai wandishi kimyaaaa
wakauwa zanzibar wandishi kimyaaaa
wakauwa arusha waandishi kimyaaaa
wakauwa morogoro juzi tu hapa waandishi kimyaa
badala yake utakuta headlines za ajabu kweli
MAUWAJI TENA VURUGU ZA CHADEMA. VURUGU ZA UAMSHO .ZANZIBAR WACHOMA MAKANISA.....yaaani hawa waandishi wa tz wanautaalamu wa kupotosha ukweli huta ona VURUGU ZA POLICE ZAUWA katu.....nasikitika kusema wandishi wa habari ndio ngao kuu ya uovu wa serikali ya ccm na taasisi zake ,kwa vyovyote vile mauwaji hayakubaliki awe muandishi raiya,chadema cuf,ccm ,muislamu mkiristo hayakubaliki.
WANDISHI WA HABARI TANZANIA SIMAMENI NA WANYONGE WATANZANIA WANATESEKA KWA UVIVU WA KALAMU ZENU KUFICHUA UOVU ACHENI UNAFIKI
 
Censorship of press always is stepping stone towards revolution,1848 revolutions is excellent example that found in Europe especially Austria,also unfit leaders are to be evicted because they retard country's development.Therefore where Tanzanians we have reached is our responsibility to make political advancements by dissolving self-interested leaders.
 
Watu wakishaamua no one can stop. Luckly their near is just around the corner.
 
Wapi Ritz, Zomba,Kimbunga na kampani yao?...ila ingekuwa waziri aliyezomewa ni wa dini fulani basi wangekuja hapa fasta na kusema mmemzomeya kwa vile ni wa dini fulani. Shame on u all shiiiiet.
 
watakuja wenye nusu ubongo na kusema yameandaliwa na CDM ndo maana Waziri katolewa nduki
 
hivi clouds kuna waandishi wa habari au wanakusanya masharobaro wanaojua kuropoka na kuwaajiri..
 
Lakini waache unafiki baadhi yao hawapo neutral wapo upande wa wauwaji magamba waadishi huu ndio wakati sasa wa ukombozi najua TBS hawatakuwepo na hawata ripot hata kwenye taarfa yao eti kwa hofu ya kufanywa kama alivyofanywa Tido njaa zao zinafanywa watumike kama kondom nakutupwa kwa sababu ya security ya ajira yao.
 
Huo utakuwa upungufu wa akili

Mwenye mamcho haambiwi tazama
FL,mark my word....nakuhakikishia TBC na CLOUDS MEDIA ni lazima watapindisha habari hiyo kwa vyovyote vile.
Kesho asubuhi kwenye kusoma magazeti CLOUDS FM watasoma vichwa vya habari vya Habari leo na Uhuru.
 
kweli hili la mwangosi linaweza leta mapinduzi! viva forever!!!!!!!! ile Taswira ya mwangosi kufa huku kashika kamera yake mkono wa kulia, na ile taswira ya mtoto wa daudi mwangosi kulia kwa uchungu wakati akisalimiana na watu mbalimbali na ile taswira ya mke wa marehemu kulala juu ya kaburi la mumewe! hazitapita bure!!! hilo nina uhakika nalo!
 
mshikamano daima,2nawategemea wanahabari msiwasikilize hao vikaragosi waserikali piganieni hakizenu mpaka kieleweke
 
Nchimbi hana busara hata kidogo, huwezi kupima kama mto una mamba kwa kutumbukiza mguu. Mungu ni mkubwa sana maana pangetokea fujo pale ingeweza kulipua nchi nzima na mambo yakaanza kufikia hatua tuliyoitaka siku nyingi. Serikali yenye akili mbovu kama Tanzania ndio hufanya mambo kama haya, kama wananchi wa kawaida wangeamua kuingilia na kumtolea uvivu waziri basi huo moto ungeenea nchi nzima kwa haraka sana na lingekuwa tukio lisiloweza kubebeka na polisi wetu hata kidogo. Napenda sana mageuzi ila najaribu sana kuomba Mungu yatokee bila kuwapoteza wengi wetu maana inawezekana sana. Serikali ya kipuuzi ya JK haielewi kama hili linaweza kutokea na likitokea pia haielewi kama ni ngumu kulibeba, Mola atuepushie mbali tufanye mageuzi bila kupoteza wengi.
 
Back
Top Bottom