Maandamano ya wanahabari Sept 11, 2012

Maandamano ya wanahabari Sept 11, 2012

41.jpg


Anaitwa NYARONYO KICHEELE (Mweye Suti, aliyepanua mdomo akiwa na mapengo) aliwahi kugombea ubunge tiketi ya CDM Tarime, ni mwandishi na Chadema 100%

*Hapa akiwa kwenye maandamano ya waandishi wa habar yaliyofanyika Dar jana tarehe 11 Sept 2012.

*Aliongoza kupaza sauti juu kuwa Waziri Nchimbi aondoke eneo la jangwan.

*Ni mtu anayetumika na CDM katika kuandika na kutoa taarifa za uongo na za kupotosha juu ya CCM na Serikali yake.

Miongoni mwa maoni yaliyotolewa na wengi kuwa maandamano ya waandishi wa habari yameingizwa siasa za upinzani,hasa CCM Blog: CHADEMA WAJIPENYEZA MAANDAMANO YA WAANDISHI DAR KUPINGA MAUAJI YA MWANGOSI ambao maandamano ni miongoni mwa strategy zake katika kudisturb national triangulity.
Wengi wakidai kuwa hakukuwa na haja wala hoja ya kumkataa Mheshimiwa Rais, kama vile ambavyo wengi wanajaribu kujiuliza kuwepo kwa DR LWAITAMA(Kada wa CDM) katika maandamano hayo.

Mambo mfano wa hayo kwa kiasi kikubwa yanafanya tasnia ya habari nchini kuyumba na kujiingiza katika utata wa kimantiki na kiutendaji, kwa maana wenye kufikiri juu ya mambo wanahukumu tasnia kuwa imepoteza mwelekeo na hakuna tena mantiki ya kuiheshimu kama mhimili miongoni mwa mhimili ya Taifa,na wengine wakajiuliza ushiriki huu wa moja kwa moja kwa wanasiasa katika tasnia hiyo lakini pia kununuliwa kwa wazi kwa wahariri wa vyombo hivyo kunaibua maswali magumu, https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...tofauti-ya-wahariri-na-uhariri.html?highlight=
Kwa mwendo huu wa wanahabari kununuliwa na kutumikishwa kwa nguvu ya pesa za wanasiasa kutalifikisha taifa hili sehemu mbaya, wanahabari wanajisahaulisha nafasi yao katika kulijenga na kuliimarisha Taifa hili na wamesahau nguvu ya taaluma yao kwa kuitumia nguvu hiyo vibaya na kuliweka Taifa rehani.

TASNIA YA HABARI NA WAANDISHI VIHIYO WA CDM WATALIANGAMIZA TAIFA HILI.
 
niliangalia habari juzi jumapili E-TV sikuamini macho yango lakini nimesikia habari hii ikirudiwa leo asubuhi na BBC. Kwa sasa nchi za Kusini na hasa South Africa zimeiweka Tanzania katika nchi za kigaidi na yale mashambulio waliokuwa wakifanyiwa wageni hapo awali sasa hivi yanaelekezwa kwa Waethiopia, Somalia na Watanzania ...amini usiami ndipo hapo tulipofikia!

Sasa huyo anayesema tunaheshimika anayajua hayo, na je, anajua tutakuwa tukidharaulika kiasi gani miaka miwili ijayo!!??

Ni nani ametufikisha hapa!?
Je, Mh. Nchimbi na hiyo kauli yake atakuwa ameona huu ushahidi juu ya majirani zetu wanavyotuchukulia au ilikuwa anaongea kutafuta cheap popularity??

Embakasi MP Ferdinand Waititu has apologised for urging the eviction of the Maasai from his constituency. The MP said his remarks targeted night watchmen, many of them, from Tanzania, who also happen to be Maasai. He said the blanket condemnation caught on tape was a "slip of the tongue".
 
Back
Top Bottom