Maandamano ya wanahabari Sept 11, 2012

Maandamano ya wanahabari Sept 11, 2012

Kuna kila uwezekano POLISICCM na serikali ya magamba wameshindwa kuzuia maandamano haya kwa kutambua umuhimu wa waandishi wa habari.

Wanajua kabisa waandishi wana nguvu kubwa katika jamii,na wamefikiria impact yake wakaona ni mbaya kwao. Pia wameona kushindwa kuzuia maandamano ya Waislamu juzi ni doa katika kujaribu kuzuia haya ya leo!

Jambo moja nalojiuliza kama Polisi japo kwa shingo upande na mvutano wameridhia maandamano ya Waandishi wa habari kwa mauaji ya mwandishi mwenzao, Mwangosi ni kwa vipi basi walizuia maandamano ya madaktari kulaani kupigwa vibaya na kujeruhiwa kwa dokta mwenzao Stephen Ulimboka?

Au sababu ni Ulimboka hakufa? Au sababu ni ipi? Maana Mwangosi aliuawa mikononi mwa Polisi na Ulimboka Usalama wa Taifa wanatuhumiwa kwa kupigwa kwake, au kwa sababu mtuhumiwa ni kubwa lao Usalama wa Taifa?
 
(Hicho haswa ndio ninachokishauri mimi maana tukifika 2015 michezo mibaya ni mingi sana na pesa itapotea nyingi sana.)

kweli kabisa. we huoni wametunga sheria mbovu ya nssf tusichukue mafao yetu kusudi watumie pesa hizo kwenye mbinu chafu uchaguzi ujao.
 
Nchimbi aliwaambia akijiuzuru hamtapata waziri mzuri kama yeye.
 
kweli hili la mwangosi linaweza leta mapinduzi! viva forever!!!!!!!! ile Taswira ya mwangosi kufa huku kashika kamera yake mkono wa kulia, na ile taswira ya mtoto wa daudi mwangosi kulia kwa uchungu wakati akisalimiana na watu mbalimbali na ile taswira ya mke wa marehemu kulala juu ya kaburi la mumewe! hazitapita bure!!! hilo nina uhakika nalo!

Hata mimi naamini hivyo, hizi ni alama alizotuachia na familia yake imeweka.kufa akiwa na akamera, kilio cha mtoto na mama kulala kaburini ni ALAMA ZA UKOMBOZI
 
Sauti yenu inaweza kuleta mabadiliko kidogho! Maana bila maandamano hakuna kumshtua BABA Riz 1.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • DSC_1314.jpg
    DSC_1314.jpg
    489.1 KB · Views: 330
  • DSC_1318.jpg
    DSC_1318.jpg
    22.2 KB · Views: 309
  • DSC_1328.jpg
    DSC_1328.jpg
    487.7 KB · Views: 323
  • DSC_1331.jpg
    DSC_1331.jpg
    587.5 KB · Views: 52
  • DSC_1359.jpg
    DSC_1359.jpg
    457.1 KB · Views: 316
  • DSC_1381.jpg
    DSC_1381.jpg
    331 KB · Views: 299
  • DSC_1383.jpg
    DSC_1383.jpg
    241.4 KB · Views: 289
Kuna kila uwezekano POLISICCM na serikali ya magamba wameshindwa kuzuia maandamano haya kwa kutambua umuhimu wa waandishi wa habari. wanajua kabisa waandishi wana nguvu kubwa katika jamii,na wamefikiria impact yake wakaona ni mbaya kwao. Pia wameona kushindwa kuzuia maandamano ya Waislamu juzi ni doa katika kujaribu kuzuia haya ya leo! Jambo moja nalojiuliza kama Polisi japo kwa shingo upande na mvutano wameridhia maandamano ya Waandishi wa habari kwa mauaji ya mwandishi mwenzao,Mwangosi ni kwa vipi basi walizuia maandamano ya madaktari kulaani kupigwa vibaya na kujeruhiwa kwa dokta mwenzao Stephen Ulimboka? au sababu ni Ulimboka hakufa? au sababu ni ipi? maana Mwangosi aliuawa mikononi mwa Polisi na Ulimboka Usalama wa Taifa wanatuhumiwa kwa kupigwa kwake,au kwa sababu mtuhumiwa ni kubwa lao Usalama wa Taifa?

But wamezuia katika baadhi ya mikoa, kama Mara
 
Suala sio kutembea umbali mrefu bali ni kufikisha ujumbe
Mbona mmetembe km chache sana DTV na Jangwani Hata km 5 hazifiki,mmeshindwa hata na yule jamaa wa mafinga aliyetembea km56? @lst mngetembea hadi viwanja vya chuo kikuu mkafanye mkutano ili ujumbe ufike kwa wengi.
 
mimi kila siku nakatiza humu nikitarajia kuona habari za jinsi rpc na askari wote waliokuwepo pale saa ya mauaji wamekatwa wamewekwa rumande bila dhamana, lakini jiiii!!!

What the.....
 
Naunga mkono maandamano, kama haki ya msingi ya kila raia kutoa maoni yake. Siungi mkono kitendo cha kuzomea waziri, kwa kuwa tendo la mauaji, si dhamira ya serikali wala chama chochote cha siasa, bali ni utendaji kazi mbovu wa mtu mmoja na wala si jeshi la polisi.
Kadanganye wengine!sio hapa Jf,rais=ccm=mawaziri=mwanasheria mkuu=jaji mkuu=s mwema=mkuu wa majeshi=rpc=rco=rc=dc=------_u-_-_-_result is what??
 
Waziri wa habari amefika Jangwani kuongea na waandishi wa habari walioandamana kwa ajili ya kifo cha Mwangosi lakini amezomewa vibaya, na walipoulizwa waandishi ni wangapi wanataka awahutubie wote wamemkataa, ikabidi aondoke kwa aibu kubwa.

Silaha ya wanyonge ni umoja wao. Big up sana wana habari,ujumbe wenu umefika very clear,
 
Wazo tu, gomeeni kunadika habari angalau kwa siku moja tu! Au muisusie taasisi au serikali kuandika habari zake kwa wiki hivi mnaonaje?
 
Naunga mkono maandamano, kama haki ya msingi ya kila raia kutoa maoni yake. Siungi mkono kitendo cha kuzomea waziri, kwa kuwa tendo la mauaji, si dhamira ya serikali wala chama chochote cha siasa, bali ni utendaji kazi mbovu wa mtu mmoja na wala si jeshi la polisi.

Wewe unatakiwa ukapimwe akili.PERIOD.
 
Back
Top Bottom