Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Vimekuwa vya kata hata uvipambe vipi

Nakwambia hivyo vya kata ni vya zamani, nimekuwekea ushahidi kuwa sasa ni vya kaya, hukupenda? nivipambe nini na huo ndio ukweli? au huupendi? Unanchekesha!

Na UDOM kikiisha kuwa ni chuo kikubwa South of Sahara! si madogo hayo kijana. Na pale kuwa ndio kituo kikubwa cha elearning in East Africa. Soon kijana, hiyo ni ahadi ya Bill Gates, swahiba yake mkubwa JMK.
 
Sasa Nyerere kama sio mdini kwanini anapigiwa debe awe mtakatifu? ana utakatifu upi? mtu aliyetesa watu bila mfano.
Bibie, nakuona uko kazini, safi sana. Lakini tambua kuwa Watanzania waleo walishaamka. Hawawezi kudanganywa na smiles za mtu ambaye hata hajui kwa nini kuna matatizo ya umeme nchini. Safi sana.
 
Kwani wewe hugangi njaa? hayo ya UK kama kuna mwizi nna imani kubwa sana na Scotland Yard watafanya kazi yao na ukweli utajulikana na kama kuna mwizi atachukuliwa hatua. Hayo wala sio issie mbona hata hapa nyumbani tumeona magwanda wakiibia serikali kodi zao kwa miaka na juzi wamekamatwa na wapigwa faini na wametakiwa waache wizi wa kodi. unafikiri fedha ya kodi ni ya nani? ya hao wanaofanya maandamano Washington au yetu sisi tuliopo hapa nyumbani? wacha weweee.

Soma vizuri wewe post yako "Nilitegemea DICOTA wawe ni watu makini zaidi", ulipoyaandika hayo ndio nimekuwekea list kamili ya hao "watu makini zaidi" na nikakujuza kuwa hamna mbeba maboksi hapo. Jee, hukuyapenda? Unanchekesha!

Faizafox...Nimekuwa IFM miaka ya 2001, TGDLC ilikuwepo kabla ya rais wako, hivyo unadanganya. Nimetumia sana facilities zao hivyo nina hakika na ninachoongea.
Pili: Nina mashaka sana kama unachojaribu kutetea kinatoka moyoni na kwa dhamira sana, kwani ukweli utabaki pale pale nao unaujua.
Tatu: Naomba namba yako ya simu this is serious, i am mature person nina familia safi na nina ipenda ila kwa ajili yako na kwa post zako nalazimika kukuomba kwa nia njema kabisa. Hivyo basi naomba uni-inbox namba yako please. We need to discuss this privately. I insist once again naomba namba yako ya simu kwa inbox.
Four:....nitasema baada ya kupata namba yako.
Asante.
 
Faiza Fox wewe ni kama dada kwangu, lakini kwa hili Mkweree wako tunae tu najua deep down sometimes unaona hata aibu kumbeba na mbeleko inakuwa nzito, lakini kama kampuni yake ya MEREMETA MKWEREE ATAMEREMETA MaHAKAMANI 2016 AKIWA NDANI YA BOX kama Mubarak

Haya ya nini na mnapiga kelele kwa chuki tu! nyinyi ndio mnaoona haya tukimwaga mavitu ya uhakika anayoyafanya, hamjibu hoja hata moja ya anayoyafanya mnabaki kuzuwa mambo ya kusadikika, hii hapa nyingine zawadi kutoka kwa JMK:

PRIDE OF TANZANIA: DAR ES SALAAM TO HAVE WORLD TRADE CENTRE
 
Nakwambia hivyo vya kata ni vya zamani, nimekuwekea ushahidi kuwa sasa ni vya kaya, hukupenda? nivipambe nini na huo ndio ukweli? au huupendi? Unanchekesha!

Na UDOM kikiisha kuwa ni chuo kikubwa South of Sahara! si madogo hayo kijana. Na pale kuwa ndio kituo kikubwa cha elearning in East Africa. Soon kijana, hiyo ni ahadi ya Bill Gates, swahiba yake mkubwa JMK.

Ubora wa chuo sio majengo wala ukubwa wa eneo ama enrollment. Ubora unakuwa kwenye elimu. Hiyo Udom ....mmmnnhhh haya bwana kama sio ya kata ilitakiwa iitwe CCM political academy
 
Unanchekesha, mi skyscraper yote ya Kariakoo huioni? njoo tu unakaribishwa, nini uanpenda weyee, mandi? swawarma? zanzibar mix? sekela? Vyote hivyo Kariakoo ndio vilipo, sasa sijui hata kama unavijua hivyo, wakuja wee! una kaa goba huko halafu unajidai uko Dar! Unanchekesha!
Teh teh teh! kawadanganya wenzake eti unakaa mtaa wa kariakoo, mtaa wa kariakoo hata haufahamu.
Faiza, mtu katoka mbeya kafikia Kimara Temboni unamwambia habari za Mandi
 
Nayaona mema anayoyafanya nambie idadi ya mashule wakati, ni rais yupi aliyefanya namna hiyo? idadi ya viwanda, kwa muda wake tayari zaidi ya viwanda 160 vipyaaaaaaaa kati ya 500 na zaidi vinavyojengwa kwa muda huu wake mfupi tu. Mbona hamuyasemi? Mkonga wa mawasiliano wa kisasa kabisa, Tanzania nzima unatandazwa, miko 18 na wilaya zake 56 tayari unatumika.

Juzi tumeona akizindua Swahili version ya windows 7 na mashule kibao kuanza kufundishwa kwa mtandao, nyie pigeni kelele hakuna walim mwenzenu anahakikisha waalim best wanafundisha kwa mtandao, waalim wataokuwepo shule ni skeleton tu kuhakikisha nidham na mambo ya utawala, uko wapi wewe? halafu kwa yote hayo bado nisiwe na maslahi nae binafsi? unanchekesha.
Bibie,
Acha uwongo. Tanzania kuna viwanda gani hivi leo? Madini kagawia wazungu. Viwanda vya nguo Mwanza na Musoma vimegeuzwa kuwa ma go down ya waingizaj mitumba. Mkonga wa mawasiliano ya kisasa unatumia mionzi ya jua? Umeme hakuna. Shule zenyewe watoto 120 wanakaa kwenye sakafu wakimsubiri mwalimu mmoja ambaye pia hana nyumba nzuri ya kuishi. Kuzindua Swahili version ya windows 7 ni kitu cha kuijivunia? Kaiandika yeye? Wewe ndiye unayechekesha kwa uongo wa mchana kweupe.
 
Faizafox...Nimekuwa IFM miaka ya 2001, TGDLC ilikuwepo kabla ya rais wako, hivyo unadanganya. Nimetumia sana facilities zao hivyo nina hakika na ninachoongea.
Pili: Nina mashaka sana kama unachojaribu kutetea kinatoka moyoni na kwa dhamira sana, kwani ukweli utabaki pale pale nao unaujua.
Tatu: Naomba namba yako ya simu this is serious, i am mature person nina familia safi na nina ipenda ila kwa ajili yako na kwa post zako nalazimika kukuomba kwa nia njema kabisa. Hivyo basi naomba uni-inbox namba yako please. We need to discuss this privately. I insist once again naomba namba yako ya simu kwa inbox.
Four:....nitasema baada ya kupata namba yako.
Asante.

Ama wewe mshamba kweli, hata UDSM ilikuwepo toka early 60's, tatizo husomi unachowekewa. Sio uwepo uwepo wake ni nini kinachofanyika kwa sasa.

Si unaona sasa mwenyewe umesema 2001 "Nimetumia sana facilities zao", sasa hapo ndio kwenye tofauti na hivi sasa, huna haja ya kwenda huko kutumia facilities zao, unakula kitabu ukiwa nyumbani kwako, kaya, kaya, kaya.! unanini weyee?

Namba ya simu mpaka niku "inbox namba yako please" si hii hapa, wee piga tu anytime : +255 754 526 313
 
Ndio walewael, ukiwauliza kuhusu maendeleo hawataki kuyataja.

Kafanyeni na maandamano kuonesha, mashule yaliyoongezeka, makliniki yaliyoongezeka, ma universirty yaliyoongezeka, mabarabara yaliyoongezeka, kilimo kilichoongezeka, demokrasia iliyoongezeka. Mbona hayo hamuyasemi?

WE MAMA UNATAKA KUNITAPISHA. HIVI WE UMEZALIWA WAPI? UMESOMA WAPI? UNATIBIWA WAPI? UNASAFIRI KWA KUTUMIA BARABARA ZIPI? I THINK NI MTOTO, MKE, MJOMBA, etc WA HAO MAFISADI.
LE ME ASK>..
SCHOOL BUILDINGS WITHOUT DESKS, BOOKS, TEACHERS, TOILETS AND OTHER FACILITIES?
HOSPITALS/DISPENSARY WITHOUT MEDICINES, DOCTORS,NURSES?
UNIVERSITIES LIKE UDOM IMEWASHINDA KWA KUIFANYA YA KISIASA?
KILIMOKWANZA IS APPROACHING TO FAIL KWANI IMEANZISHWA KIFISADI NA HAIMSAIDII MKULIMA WA HALI YA CHINI/
WHAT KIND OF DEMO AR U TALKING ABOUT?, POLICE KILLS AND DETAIN INNOCENT TANZANIANS IN THEIR OWN RICH LAND IN RESPECT TO FOREIGNERS.
YOU DESERVE SOMETHING AFTER
 
Nipatie na email address yako...usijali.
 
Bibie,
Acha uwongo. Tanzania kuna viwanda gani hivi leo? Madini kagawia wazungu. Viwanda vya nguo Mwanza na Musoma vimegeuzwa kuwa ma go down ya waingizaj mitumba. Mkonga wa mawasiliano ya kisasa unatumia mionzi ya jua? Umeme hakuna. Shule zenyewe watoto 120 wanakaa kwenye sakafu wakimsubiri mwalimu mmoja ambaye pia hana nyumba nzuri ya kuishi. Kuzindua Swahili version ya windows 7 ni kitu cha kuijivunia? Kaiandika yeye? Wewe ndiye unayechekesha kwa uongo wa mchana kweupe.

Hata hujui viwanda vipya vya kwenu? unanshangaza sana.

OS ya kwanza duniani kiswahili ambayo mchango wa Watanzania ni 98% halafu itatumika kufundishi mashuleni. Sasa wewe unaona hicho sio kitu cha kujivunia? unanshangaza sana, tujivunie nini? kukwepa kodi na kufanya maandamano?

Bora hao wanaokwenda shule wa kakaa kwenye sakafu kuliko kuwa hamna kabisa, sasa utenneza mabenchi na shule hauna utayaweka wapi? kwanza mjengo halafu furniture. Uko wapi weyee? au wewe nyumbani kwako ulianza kuweka fanicha uwanjani halafu ukajenga? unanchekesha!
 
<br />
<br />

Sawa kabisa, huyu jamaa kwa sasa anatakiwa asipewe entry visa ya nchi yoyote, nchi ina matatizo lukuki ya kushughulikia lakini yeye kazi yake kuzurura bila tija, ziara nyingine awaachie wa chini yake, kila jambo lazima aende hata akisikia kuna semina ya kukata vitunguu ataenda tu.

Nimefurahia hiyo avata yako. Ni kama uliiandaa ukijua kuwa JK na serikali yake watatufikisha mahali tujaze tenki za mafuta ya gari zetu kwa njia hiyo. Ha ha ha haaaaa!
Ingawa mimi sio mmoja wa magamba ambao huunga mkono tu; kwa hili naomba niwanukuu: "Naunga mkono hoja ya maandamano haya mia kwa mia."
 
Ndio walewael, ukiwauliza kuhusu maendeleo hawataki kuyataja.

Kafanyeni na maandamano kuonesha, mashule yaliyoongezeka, makliniki yaliyoongezeka, ma universirty yaliyoongezeka, mabarabara yaliyoongezeka, kilimo kilichoongezeka, demokrasia iliyoongezeka. Mbona hayo hamuyasemi?

WE MAMA UNATAKA KUNITAPISHA. HIVI WE UMEZALIWA WAPI? UMESOMA WAPI? UNATIBIWA WAPI? UNASAFIRI KWA KUTUMIA BARABARA ZIPI? I THINK NI MTOTO, MKE, MJOMBA, etc WA HAO MAFISADI.
LE ME ASK>..
SCHOOL BUILDINGS WITHOUT DESKS, BOOKS, TEACHERS, TOILETS AND OTHER FACILITIES?
HOSPITALS/DISPENSARY WITHOUT MEDICINES, DOCTORS,NURSES?
UNIVERSITIES LIKE UDOM IMEWASHINDA KWA KUIFANYA YA KISIASA?
KILIMOKWANZA IS APPROACHING TO FAIL KWANI IMEANZISHWA KIFISADI NA HAIMSAIDII MKULIMA WA HALI YA CHINI/
WHAT KIND OF DEMO AR U TALKING ABOUT?, POLICE KILLS AND DETAIN INNOCENT TANZANIANS IN THEIR OWN RICH LAND IN RESPECT TO FOREIGNERS.
YOU DESERVE SOMETHING AFTER

Wewe wacha kuandika kama mtu asiye na fikra, hayo unayoyasema unalinganisha na nini? kila maendeleo hulinganishwa na ulikotoka. Sasa linganisha kabla ya Kikwete tulikuwa na nini na sasa tuna nini. Wacha kulalamika hovyo.

Hebu weka data za shule za sekondari kabla na baada ya Kikwete, hebu weka data za wanafunzi wa vyuo vikuu kabla na baada ya Kikwete, hebu weka data za vituo vya afya kabla na baada ya Kikwete, hebu weka data za hospitali za rufaa kabla na baada ya Kikwete, hebu weka vifaa vya hospitali ya rufaa Muhimbili kabla na baada ya kikwete.

Miaka yote tulikuwa hata moyo hatuwezi kupasua Tanzania. Kikwete kahakikisha linawezekana na sasa maginjwa mengi ya upasuaji wa moyo ni hapa hapa. Unanini weyee?

Na za barabara, na za viwanda , na za demokrasia, na, na , na.... Utakuta zote Kikwete ni juuu, juuu, juuu zaidi tena kwa kasi ya ajabu.
 
Ubora wa chuo sio majengo wala ukubwa wa eneo ama enrollment. Ubora unakuwa kwenye elimu. Hiyo Udom ....mmmnnhhh haya bwana kama sio ya kata ilitakiwa iitwe CCM political academy
<br />
<br />
majengo yenyewe below standard kama unabisha waambie board ya maeng wapite pale,pili ni upumbavu wa hali ya juu kukiacha chuo kikuu cha dar es salaam kikididimia na kutengeneza kipya,kama renovation and maintenance ni tatizo what makes the new buildings safe,wanafunzi ud wanabebana ur talking shit abt building new,kama kidogo ulichonacho huwezi maintain kipya utaweza wapi,whats is wrong with faizafoxy is vasco the father of ur children or ur hubby or any that u defend them that much,back off ur destroying the thread,
 
Hata hujui viwanda vipya vya kwenu? unanshangaza sana.

OS ya kwanza duniani kiswahili ambayo mchango wa Watanzania ni 98% halafu itatumika kufundishi mashuleni. Sasa wewe unaona hicho sio kitu cha kujivunia? unanshangaza sana, tujivunie nini? kukwepa kodi na kufanya maandamano?

WACHANGIAJI WAKUBWA NI WAKENYA....... ANGALIA SWAHILI YAKE MUTU UNAPADA DAABU KUELEWA, HII NI SWAHILI YA NYAYO BANA
 
Hiyo ya 98% ni katika hotuba hiyohiyo. Sikiliza vizuri.
 
Umeshindwa hoja unaanza maandamano ya matusi, unanchekesha! leta hoja wacha upupu wa matusi. Unanshangaza!

Hapo ndipo tunapoona "capacity" za magwanda!

Faiza...wewe kwa akili zako unaamini yeyote anae pinga pumba zako basi ni CDM, kwa taarifa yako mimi nina kadi ya CCM lakini sina akili za kijani hata kidogo, naangalia ukweli na hali halisi ya mambo. Usiwe unabwabwaja tu kila linalokuja kinywani mwako weweeeee....acha ku exercise uswahili wako wa kaliakoo hapa JF. Leta hoja za msingi Jimama usiye kuwa na mume wewe....l!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom