wimbi la mbele
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 647
- 269
kuna mwenye picha ya Lisa Rockeffeller?
kuna mwenye profile yake?
I'm just curious
kuna mwenye profile yake?
I'm just curious
Dada mambo ya dini yahasiana na nini na utendaji wa Kikwete? sidhani kama udini utatufikisha popote sana sana vizazi vyetu vitaangamia kwa sumu za aina yako unazoziweka hapa.
<br />Achaneni na huyu mwehu,magamba yamemjaa hadi machoni haoni,hasikii and he doesn't even feel,he si just a corpse.
Kwa nini Lisa Rockefeller anaitwa dada kipenzi cha Watanzania? Ni nani huyu dada? Anahusiana na Senator Rockefeller?
Is it not illegal kuandamana DC kumpinga JK? Hata kama kuna ufisadi Tanzania,Tanzania siyo Libya,siyo Syria,why should there be so much concern in the diaspora? Halafu ninyi ni Tanzanian citizens hata kama mko US. Ubalozi wetu huko una maoni gani?
Unasema unataka JK aondoke. Lakini JK ataondoka baada ya kumaliza muda wake. Does it mean you want him to leave sooner?
Kuhusu mafisadi,Nae ameshasma CCM inafanya jitihada kubwa kuwaondoa. Walipewa siku 90 kuondoka,mmoja tu aliondoka ,bado wawili. Nape amewapa siku 30 or so zaidi ili nao pia wajiondoe.
Tatizo la watu wanapokuwa katika diaspora they feel that they can influence the mother country,kwa sababu wako out of reach,and they can speak without fear. But this feeling is quite unfounded. Juhudi zenu za kumuaibisha JK zitakuwa ludicruos. To have any influence in this country,you have to be present,it is only your gravity presence,your physical presence in Tanzania that can enable you to influence events here.
Mimi pia nipo katika CCM. Kuna coordination gani kati ya mambo wanayotaka kufanya watu katika diaspora na watu ambao wako nyumbani?
Naomba kuwa informed about what is happenning.
+718 536 281
nyerereburito@yahoo.com
I support you with all my heart and will be praying for you?but what if he wont show up or change hotel?
Inaonekana una mashaka mashaka sana na maamuzi mazito wanayotaka kuyafanya ndugu zetu wa kule Marekani. Na maswali yako mengi majibu yake yamo ndani ya hii post, kama umefuatilia mwanzo hadi mwisho am sure utakuwa na majibu ya kufanana na unachotaka kujua.. Kaa chini tumia muda kusoma nini wachangiaji wameandika kutokea mwanzo hadi mwisho. Ufisadi unao uongelea hapa ni 1/8 ya matatizo yote ambayo Serikali imeshindwa kuyatafutia ufumbuzi.Kwa nini Lisa Rockefeller anaitwa dada kipenzi cha Watanzania? Ni nani huyu dada? Anahusiana na Senator Rockefeller?
Is it not illegal kuandamana DC kumpinga JK? Hata kama kuna ufisadi Tanzania,Tanzania siyo Libya,siyo Syria,why should there be so much concern in the diaspora? Halafu ninyi ni Tanzanian citizens hata kama mko US. Ubalozi wetu huko una maoni gani?
Unasema unataka JK aondoke. Lakini JK ataondoka baada ya kumaliza muda wake. Does it mean you want him to leave sooner?
Kuhusu mafisadi,Nae ameshasma CCM inafanya jitihada kubwa kuwaondoa. Walipewa siku 90 kuondoka,mmoja tu aliondoka ,bado wawili. Nape amewapa siku 30 or so zaidi ili nao pia wajiondoe.
Tatizo la watu wanapokuwa katika diaspora they feel that they can influence the mother country,kwa sababu wako out of reach,and they can speak without fear. But this feeling is quite unfounded. Juhudi zenu za kumuaibisha JK zitakuwa ludicruos. To have any influence in this country,you have to be present,it is only your gravity presence,your physical presence in Tanzania that can enable you to influence events here.
Mimi pia nipo katika CCM. Kuna coordination gani kati ya mambo wanayotaka kufanya watu katika diaspora na watu ambao wako nyumbani?
Naomba kuwa informed about what is happenning.
+718 536 281
nyerereburito@yahoo.com
kuna mwenye picha ya Lisa Rockeffeller?
kuna mwenye profile yake?
I'm just curious
Is it not illegal kuandamana DC kumpinga JK? Hata kama kuna ufisadi Tanzania,Tanzania siyo Libya,siyo Syria,why should there be so much concern in the diaspora? Halafu ninyi ni Tanzanian citizens hata kama mko US. Ubalozi wetu huko una maoni gani? But this feeling is quite unfounded. Juhudi zenu za kumuaibisha JK zitakuwa ludicruos. To have any influence in this country,you have to be present,it is only your gravity presence,your physical presence in Tanzania that can enable you to influence events here.
nyerereburito@yahoo.com
kuna mwenye picha ya Lisa Rockeffeller?
kuna mwenye profile yake?
I'm just curious
Dada mambo ya dini yahasiana na nini na utendaji wa Kikwete? sidhani kama udini utatufikisha popote sana sana vizazi vyetu vitaangamia kwa sumu za aina yako unazoziweka hapa.
Tutasali kwa nguvu kufanikisha maandamano hayo kwani hali ya maisha ni ngumu sana.
Udini mnauleta wenyewe ambao kila kitu mnakitizama kwa misingi ya kidini. Nyerere alikuwa mbaya kwenu kwa sababu za udini. Mwinyi alikuwa mzuri kwa sababu za udini na sasa mnamtetea Kikwete licha ya kwamba nchi imemshinda, kwa sababu za udini.Nioneshe kimoja ambacho JK hajakifanya zaidi ya Rais yeyote wa kabla yake, kama huna ujue huu ni udini.
Achana na huyo anaulimbukeni wa ajira, hajui humu wapo walikuwemo serikalini hata kabla yake na hawakubaliani na upuuzi wowote.
<br />Usiyemkubali ni wewe na Magwanda wenzako. Tena nna uhakika isiyokubalika ni dini yake lakini si utendaji wake, kwani mpaka sasa ameshawapita wote waliomtangulia kwa maendeleo ya kutolewa mfano.
Udini mnauleta wenyewe ambao kila kitu mnakitizama kwa misingi ya kidini. Nyerere alikuwa mbaya kwenu kwa sababu za udini. Mwinyi alikuwa mzuri kwa sababu za udini na sasa mnamtetea Kikwete licha ya kwamba nchi imemshinda, kwa sababu za udini.
Kuwalea maswahiba wake kama JAIRO na Ngeleja ambao ni wezi wa mchanaNioneshe kimoja ambacho JK hajakifanya zaidi ya Rais yeyote wa kabla yake, kama huna ujue huu ni udini.