Gamba Jipya
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 401
- 80
Hilo bango litasomeka vizuri zaidi ukiondoa neno KAMA. Lisomeke: "JK nchi imekushinda achia ngazi."
Heshima mbele MzeePunch.
Hiyo ngazi amwachie nani?
Bwahahahahah!!!!!!
Respect
Hilo bango litasomeka vizuri zaidi ukiondoa neno KAMA. Lisomeke: "JK nchi imekushinda achia ngazi."
Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatapokewa na viongozi kutoka United States , State Department. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe
EliakimMallya@yahoo.com
Update:
Tayari watu 450 wmesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii , mtalii Vasco Dagama a.k.a Dr. Livingstone hadi atoke madarakani.
Kadhalika tumeni barua pepe pamoja na malalamiko kwa wingi kwenda wiegertjr@state.gov ili kupinga Vasco Dagama kupewa VISA na wapambe wake
Wewe ulitaka ukanyimwa? hao wazunu wataibeba hiyo ardhi waende nayo kwao?
Halafu hao hao wazungu unaowasema kwa kupewa ardhi waiendeleze haohao ndi unataka kwenda kufanya maandamano kwao, haohao ndio unategemea wanunue mazao yako, haohao ndio unawategeme wakuletee madawa kwa wagonjwa wako, haohao ndio wanaokusomesha huko Merekani, haohao ndio unakwenda kwashtaki kwao wenyewe kwa maandamano? Una akili kweli hapo? au unaenda kumshtaki Kikwete kwa dini yake? Fikiria.
kabla kubisha pitia bajeti ya mwaka huu iliyosomwa na magufuli utaona hilo. baadaye lete hoja
Kuna kitu nashindwa kuelewa kutoka kwako, wewe umesema ni mu Oman and ur very proud of that. sasa swali langu ni kwamba mambo ya Watanganyika wewe yanakuhusu nini? hakuna forum za waarabu wenzako?Acha kuniongopea kwani mi nawafahamu fika na nimekuwa nahudhulia hata function zao wakti wa Mh Mustafa Nyang'anyi. Hivyo nipe ni nani hao ili nikupe data zao.
Labda uniambie ni raia wa marekani walioukana uraia wa tanzania ndio wanaandamana lakini si vinginevyo.
Haya lakini all in all sie yetu subra.
Tusiandikie mate na wino upo

Kutokana na kuchoka na hali ngumu inayoendelea hapa Tanzania, ndugu zatu wanaoishi USA wameandaa maandamano ambayo yatakuwa ya amani kupinga utawala mbovu wa JK hasa baada ya kushindwa kuwachukulia hatua masfidi hapa nchi.

Hii ni sehemu ya maandalizi hayo kama yalivyoandikwa na ELIAKIM MALLYA.

Tunaandaa maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubali kushiriki kwenye maandamano hayo. Tunataka watu wengi zaidi kujitokeza. Hii ni kumshinikiza huyu fisadi papa na mzururaji kushugulikia matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatahitimishwa na kupokelewa na viongozikutoka United States Department. Tayari tumetuma maombi kupinga misaada marekani inayopa Tanzania, kwani hayasaidii Jamii bali Kikwete na genge lake la majambazi

Wote mnakaribishwa karibishwa. Maandamano ya Amani yanaruhusiwa marekani ilimradi mtu hajavunja sheria nchini. Ukiwa na makaratasi yako, njoo tulikomboe taifa letu. Ukombozi wa TANZANIA upo mikononi mwetu. Mabango yanachapishwa tarehe 24, Tunaomba mawazo tofauti kuhusu ujumbe tutakaobeba kwenye mabango yetu. Tumechoka na Kikwete, dawa nikuanza maandamano.Tupo tayari kufa sasa. Tunisia iliokolewa na watu tu kama sisi, tukifa bahati mbaya vizazi vijavyo vitafaidi. Tafadhali sambaza ujumbe. Tutatoa tamko rasmi ya maandalizi tarehe 20 mwenzi huu Ukitaka kushiriki tuma barua pepe EliakimMallya@yahoo.com

Raia wa kawaida anayo haki ya kumfanya Kikwete Anyimwe VISA. Kwa Kupinga Ujio wa Kikwete, au yeye kunyimwa VISA tumeni emails nyingi iwezekanavyo kwenda East African Affairs Bureau. Email Adress wiegertjr@state.gov
Mshamba tu wewe huna jipya.Content ya habari ilikuwa haieleweki, na sio swala la spelling, hakuna kitu kama United States Department!
Isitoshe, U.S. State Department hawawezi kupokea maandamano binafsi ya Wabongo against Rais wao. Kebehi nyingi kumbe waongo, vilaza wakubwa.

Wacha kuishushia hadhi idara ya usalama wa Taifa, yaani unadhani TISS inaweza kuajili mambumbumbu kama FF? kwanza ungejuwa anapoishi ndio ungechoka kabisa, huyu FF anaishi katika moja ya nyumba duni kabisa pale mtaa wa kariakoo.
Akiondoka Kikwete mnataka nchi ashike nani?
Nimewaahidi wana JF leo jioni au kesho nitaupload nyumba yao anayoishi Faiza fox ili muone jinsi anavyoishi kwenye makazi duni kabisa halafu anajifanya kana kwamba ana maisha bora.

HAHAHAHA KUMBE WALIJUA TUNDU LAKE HUKO K.K
Nimewaahidi wana JF leo jioni au kesho nitaupload nyumba yao anayoishi Faiza fox ili muone jinsi anavyoishi kwenye makazi duni kabisa halafu anajifanya kana kwamba ana maisha bora.